Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama imeridhika na ushahidi kuwa hawa wawili ndio waliohusika na tendo la kubaka hivyo kuwatia hatiani.
nyamayao aksante kwa kurudia jina lako la ubatizo.
Kama kweli walibaka, haloooo...wangechomwa tu moto hapo mahakamani...imagine...unakitito chako kizuri kila jioni ukirudi job unakaa nacho unakiuliza shule vipi....halafu kumbe kinabakwa! Watu wengi mnaletea mihuruma yenu kwa ajili tu ya upenzi wa muziki wao...wangekubakia mwanao ungekuwa na huruma kweli? Naamini hawa jamaa walifanya vitendo viovu tu...si rahisi mahakama ya rufaa ikawakuta na hatia tena kama hawakufanya. Mikongo mingi hasa hii ya muzuki muziki huwa ina mazingira ya kishirikina kweli...yanaweza kuwa yalifanya hivyo kama kafara fulani hivyo,,,ndo maana baba na mtoto wanashirikiana kitu cha kipuuzi.
Sina huruma hata kidogo katika hili......kwa wanabahati,,,watakula maharage siku zote hizo..ingekuwa ni mimi......piga kiberiti hapo hapo.
Kama wana ndugu kwao waondoke hapa wataishije halafu kama ilikuwa case yakutunga watawaua tu ndio mchezo siku hizi....kama kwa hakika aliyesuka huu mpango kama ni kweli[nasikia chanzo wivu wa mapenzi]......basi..hawa walioachiwa maisha yao yako hatarini...wanaweza kuwa extraminated ...kama watataka kuuza story yao kuhusu ukweli wa kilichokumba familia yao especially kwa mwaka kama huu 2010...washone midomoo!!..story yao worthy miillions of shillings...
Ofcoz hao watoto wangetakiwa walipwe fidia na washitakiwa,kama washitakiwa hawana uwezo basi kunatakiwa kuwe na chombo cha serikari ambacho kitawalipa waathirika fidia kwa niaba ya washitakiwa na baadae kudeal na washitakiwa hao ikiwa ni pamoja na kuwafilisi au kuwatumikisha kwenye kazi za jamii. Kwakweli ukiangalia kiuhaki zaidi,Hao vijana walioachiwa huru na mahakama kwakuonekana walifungwa kimakosa na bila hatia yoyote pia wanatakiwa walipwe fidia kubwa tu na Serikali kwakuwa kosa la kuwaweka jela bila ya hatia limefanywa na chombo cha Serikali yani Mahakama. Sidhani kama ni haki kuwaacha kama walivyo kwakuwa kwanza kwa mateso waliyoyapata huko jela kwa miaka yote hiyo waliokaa na pili ni lazima watakuwa wameathirika kisaikolojia. Ndiyo maana nafikiri labda sheria zetu za nchi zingepitiwa upya na kuzifanyia marekebisho ambayo yanaenda na wakati kwakuwa sheria nyingi tunazotumia ni za kale na zimepitwa na wakati. Kuhusu suala la Babu Seya kulalamika kila wakati kwamba angalau wamtoe huyo last born wake,Kwa mtazamo wangu nafikiri kwamba alikuwa anamuonea huruma sana huyo mtoto kwa mateso aliyokuwa anayapata bila ya sababu na pia alikuwa chini ya umri wa kumchanganya kwenye jela za watu wazima. Aliona ni bora kidogo wao wanaweza kuvumilia hayo mateso kwakuwa angalau wao ni watu wazima. kuhusu kusema alikuwa anajua alichokifanya mi nafikiri ni porojo tu kwakuwa hata huyo mwingine mkubwa asingeachiwa kama ni hivyo.mama sasa na hao watoto walioharibiwa nani awalipe?
tusiangalie upande mmoja tu, pata picha kama aliyefanyiwa ni mwanao, kwa sababu nna uhakika kosa lilitendeka, ila sio wote wanne walifanya, ndio maana Babu Seya alikua anasema atoke huyo last born wake, anajua mwenyewe alifanya nini! na ndio maana mahakama imewaachia wawili wasio na hatia!
Ameteseka sana bila ya sababu.Huyu mtoto mbona analia kwa uchungu jamani inasikitisha
![]()
Unadhani kwa mawazo yake yeye hapo kawa si great thinker kweli? mi nadhani humtendei haki. Pata undani wake ili ujue kwa nini anasema anayosema!Mara nyingi huwa nafikiri wewe ni "great thinker"... mbona hii issue inataka kutubainishia vingine?
Ilikuwa circumstancial evidence maana dna ilikuwa bado ingia tzKesi hizi za namna hii ni ngumu sana,hata mambo ya DNA yanaingia hapa!
1.Je doctor alithibitisha ouvu huu
2.Kuna DNA za hawa convicts zilipatikana kwenye nguo za waliofanyiwa uchafu huu?
Au ilikuwa ni circumstancial evidence ?
Ilikuwa circumstancial evidence maana dna ilikuwa bado ingia tz
Nakala ya Hukumu (attached) Masimamo wa Mahakama ya Rufaa yupo wazi. Mjadala umefungwa!
hivi mnasikitikia wabakaji? tuna tatizo ewe Yehova.!!
Hizi conclusions zako ni kutokana na basis gani?Mahakama imeamua, na hiyo ndiyo mahakama yetu ya mwisho. Thats settles it.
Mwenyewe umesema vema. Zombe aliachiwa kwa sababu hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Kinachotakiwa siku zote ni ushahidi, ushahidi, ushahidi tu pasi na shaka hata kidogo au kwa lugha ya "the learned brothers undoubtable evidence" Kwenye hii kesi ushahidi u wapi? Kwamba wameingiliwa huo si ushahidi tosha. Nani asiyejua kuwa watoto siku hizi wanaanza sex katika umri mdogo. Halafu watu wengine wanakuja na lame excuse eti kama angefanyiwa mtoto wako wha piece os crap? Kwani wale wachimba wafanya bishara hawakuwa na ndugu? Kama ndugu zenu wangeuliwa hivyo mngemng'ang'nia Zombe et al? Yes mahakama inaaminika kutenda haki lakini binadamu haaminiki so usituambie kitu hicho. Jdges too are infallible whether on purpose or by overlooking.nawaomba wadau katika hili tusiendeshwe na hisia za huruma na mapenzi kwa wanamuziki na familia ya nguza na papii kocha...kama tunaamini kuwa MAHAKAMANI ndiko haki iliko na hutendeka...basi si busara kuweka hisia zetu juu ya haki...
Wapi zombe leo??..je sio mahakama iliyotenda haki kumwachia huru???...fransis nguza na mdogo/kaka yake wapo wapi leo...sio mahakama ilotenda haki kuwaweka huru??...je kwanini tuongozwe na hisia kulalamikia wapendwa wetu wawekwe huru hata kama mahakama imewaona na hatia???
NAOMBA WANA JF TUONYESHE UKOMAVU WA MAWAZO NA FIKRA ZETU PIA KATIKA HILI LA UTENDAJI WA MAHAKAMA ...CHOMBO PEKEE DUNIANI KOTE KINACHOAMINIKA KWA KUTENDA HAKI NA MAAMUZI SAHIHII...
ni maoni tuu..
Hili swali zito sana. Kutiwa walitiwa kama ni kutiwa kweli, na nani? bado kesi hii haijaweza kujibu. Lazima kuwe na ushahidi usiopingika kuwa Ni Nguza na mwanaye. Kwa wenzetu hata mtu akiuua kwa bunduki kama bunduki haijapatikana hata mtu akitokea akasema nilikuwepo bila bunduki iliyotumika kupatikana hakuna kesi hapo maana lazima imlink kwenye hayo mauaji pengine shahidi anaweza kuchanganya.Kesi hizi za namna hii ni ngumu sana,hata mambo ya DNA yanaingia hapa!
1.Je doctor alithibitisha ouvu huu
2.Kuna DNA za hawa convicts zilipatikana kwenye nguo za waliofanyiwa uchafu huu?
Au ilikuwa ni circumstancial evidence ?
We mangi naomba kukuuliza kuwa kwani Seya kafungwa na serikali ya awamu ya nne?alifungwa ndani ya serikali ya Awamu ya tatu.kifupi aliyemfunga ni shemeji yako.acha chuki kwa JK.alikufanya nini?nguza hangeweza kuachiwa labda serikali ije nyingine.....wanaojuwa wameelewa!! hata hao walioachiwa wawili ni at least ..kwa kuwa mahakama ya rufaa ipo somehow free..
Matikiti vipi mheshimiwa?Ilikuwa circumstancial evidence maana dna ilikuwa bado ingia tz