Babu Seya, Papii Kocha wamlilia JK

Tafuta wimbo wao wa
"SALIMA"

Usikilize vizuri sana ndio tatizo

Nakupa kidogi tu

"oho! salimaaaaa
haaaasas x 2
nilikudanganya ukamuacha yeye....."

Ila UWT wakatengeneza watoto wao eti wamebakwa....ahaaaaa!

Chanzo ni Amina Chifupa, Jk alikuwa anakula na jamaa anakula, na ndicho kilichopelekea kifo cha Amina Chifupa na mmewe Mpakanjia, tafakari kuingia kwa Amina Bungeni na vifovyao vilivyokuwa vya utata. kulikuwa na Gazeti lililo kuwa likiitwa Maisha lilijaribu kutunga hadithi inayoelezea jambo hili matokeo yake lilipotezwa kwenye Urimwengu wa habari. sijui kama na mtunzi wa hiyo hadithi kama hajaozea Mwagwepande.
 
Wasamehewe tu. Mbona washkaji kina Kapuya hawajafungwa?
 

Vifo vya ngoma navyo vinautata?..hujui vifo vyenye utata wewe!
 


Mkuu acha porojo.
 
Duh hawa wafungwa wameomba sana ni wakati sasa wa JK kuwasamehe kwa mujibu wa katika kama aliweza kuwasamee wezi waliokwapua fedha za EPA hata hawa anaweza kuwasamee.
Ubakaji,ujambazi, kukutwa na madawa ya kulevya ni makosa ambayo hayana msamaha kabisa na hata wangeomba vipi hawawezi kusamehewa na uzuri ushahidi unaonesha wazi!
 
Mwakani watakua huru wawe na subira.
Hawawezi kuwa huru kabisa kwa kosa walilo tenda na halipo kwEnye orodha ya makosa yanayo stahili msamaha.

Labda waombe tena review ya judgement na wathibitishe hawakubaka.
 
Uongo mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…