Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

Angelkuwa mwanao ungelishauri ajitokeze?
 
Ninasema walibakwa kwa sababu mahakama ilidhibitisha pasina shaka.

Nachotaka kujua watu hawa wako wapi,wanafanya nini na wamechukuliaje msamaha wa Rais ikiwa pamoja na mwaliko wa wabakaji wao Ikulu.

Mtoto(wakati huo) mmoja akiitwa Gift Kapwapwa wakati huo akisoma darasa la kwanza Mashujaa primary-Sinza. Wakati wa tukio binti aligundulika na walezi wake kuwa anatoa harufu ukeni. Binti wa kazi alimwelezi mlezi wao kuwa alimwona Gift na Shs.200 ambayo alisema alipewa na Babu Seya....hiyo ni 2003.

Walikuwa watoto 10 wako wapi hawa. Wengine ni pamoja na Alisia Longino, Isabella Angonile, Agneta Sia nk.

Wako wapi kina Gift waliobakwa na Babu Seya na mwanaye?
 
subiri waje
 
Hata hata kosa linaweza kutengenezewa na ushahidi ukatengezwaa na Mahakama kuthibitisha kosa na hukumu ikatolewa
 
mkuu si ungwana kutaja majina yao hapa .
 
Mambo mengine hayana umuhimu kwa sasa.
 
vp na ww unataka ukawabake upate msamaha
 
Nchi hii kiongozi mmoja akikusimamia kidete kukufunga anaweza kwa 100% na ushahidi wote anao, na washangiliaji anao. Na wakiamua kukutoa gerezani kwa maslahi yao pia uwezo wanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…