Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Cha Kike hicho Mkuu,hiyo video haikuwahi kuwa kwa bill... acording to nandy mwenyewe... ilikuwa kwenye simu yake na akavunja simu yan unatoa simu alafu unaongeza hela nyingine ili upate simu kali zaidi kuna vitu alisahau kufuta....
mtu wa kwanza kukamatwa kwa hyo ishu ni jamaa wa udakutz.. hii inaendea wiki sasa kwa hyo yeye ndio kamtaja bwana mkubwa kuwa ndiye aliyempa kazi ya kupost hyo video
hapana alimtapeli huyo Jamaa"" yaani Jamaa ni shekhe alimuambia wa rec..mawaidha halafu wakisha ya rec..yeye atayasambaza na kuyauza....baada ya kum rec..wakampiga changa la macho"" .....shekhe mwenyew nae mtoto wamjini " mjalaana mwenzie "" hahaa akaenda kumfungulia mashtaka mamaeeeAmefanya kosa gani?
Au alimtukana Ali Kiba?
ha hahaaaAlikuwa anakula chabo wakati BillNas anasuuza rungu kwa Nandy,meneja si akanogewa akarekodi ile muvi na kuisambaza mitandaoni.....basi bwana ndo ikawa hivyo...
alipe wapi " mkuu" nadhani alikaidi amri ya mahakama...ndio maana waona kuwa leo hii yupo hapo ""Zile 250Mil alizoamriwa na Mahakama amlipe Bwana Hashim Mbonde alizilipaga??
Ndiyo muache dhulumaDuh!! huyo ustazi kweli nuksii,, ati alitaka mil700,, kwa content gani ss??
Unaeza kuta huyo Tale mwenyew kala mil 3 au 4 af ustaz anataka mil 250
Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....Deni halikimbiwi aisee ajichange change akalipe hela za watu.
Na usawa huu ulivyo tight kama bikra mill240 kuzipata watu wanaweza kumshikisha ukuta ili wamlipie au asubiri aende jela.
M 250 unadhani ni pesa ndogo or zile show off za wasanii wetu zinakufanya uamini wasanii wetu wakibongo wana hela....ndugu yangu hakuna msanii bongo tajiri wote maskini tu wametofautiana kidogoSiamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
hahaa shekhe kapewa " ml.2 " kanzu na balaghashia tu ....daahh Watoto wamjini " wasengerema kweli aisee..""kumbe! sheikh sasa inabidi asamehe au apunguze kidogo mwezi mtukufu huu
Ml 250 unaichukulia poa eehh "" Acha masihara kabisa ...hao hela ya kumlipa hawana " halafu niwatu wanaoamini ushirikina mnooo" usikute sababu zilizofanya wasimlipe ilikuwa nikwenda kumroga hakimu na mwenye madai wapate kuifuta hiyo kesi "" lakini wamemkuta hakimu na shekhe ni vyuma vya pua " so albadir zao zimedunda ""Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
Mkuu naona kama unatania,akili yangu inanituma hivyo.......Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
Ela ya WCB inabaki kuwa ya WCB. Leo hii meneja wa Azam adaiwe, Alafu ategemee Azam wamlipie, hamna kampuni itakayofanya ujinga huo hata Bill Gates na Microsoft hawawezi kufanya upuuzi huo.Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
Amedhulumu wanaume watamsodoma oohAmedhurumu pesa ya watu
Hawa waswahili wenzangu wanafikiria kuloga tu....wanajua uchawi unawafanya watu wasahau. Mambo gani babu Tale????View attachment 784445
Ufafanuzi.....
Tale ametiwa mbaroni kwa amri ya mahakama kuhusu kesi ya madai ya Bwana Mbonde ambaye anamdai Tale 240 Milioni,hivyo kesi haihusiani na taarifa ya makosa ya mtandao kwa kuvujisha video ya Nandy kama inavyosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Mmh! Mkuu unataka kusema Diamond hana mil 250??? Ndugu huyu jamqaa anapiga show kwa zaidi ya mil 50.M 250 unadhani ni pesa ndogo or zile show off za wasanii wetu zinakufanya uamini wasanii wetu wakibongo wana hela....ndugu yangu hakuna msanii bongo tajiri wote maskini tu wametofautiana kidogo
Dah,alipe wapi " mkuu" nadhani alikaidi amri ya mahakama...ndio maana waona kuwa leo hii yupo hapo ""
ile video ilirecodiwa na Nandy mwenyeweBasi nasema afungwe tu... maana hamna namna tena...
Ahsante kwa taarifa kiongozi...