Babu Tale afikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande...

Babu Tale afikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande...

Sheikh Mbonde,kama ni haki yake inabidi apewe,si ndio maana ya mkataba!
 
hiyo video haikuwahi kuwa kwa bill... acording to nandy mwenyewe... ilikuwa kwenye simu yake na akavunja simu yan unatoa simu alafu unaongeza hela nyingine ili upate simu kali zaidi kuna vitu alisahau kufuta....

mtu wa kwanza kukamatwa kwa hyo ishu ni jamaa wa udakutz.. hii inaendea wiki sasa kwa hyo yeye ndio kamtaja bwana mkubwa kuwa ndiye aliyempa kazi ya kupost hyo video
Cha Kike hicho Mkuu,
Sio issue hiyo kumbe
 
Amefanya kosa gani?

Au alimtukana Ali Kiba?
hapana alimtapeli huyo Jamaa"" yaani Jamaa ni shekhe alimuambia wa rec..mawaidha halafu wakisha ya rec..yeye atayasambaza na kuyauza....baada ya kum rec..wakampiga changa la macho"" .....shekhe mwenyew nae mtoto wamjini " mjalaana mwenzie "" hahaa akaenda kumfungulia mashtaka mamaeee
 
Zile 250Mil alizoamriwa na Mahakama amlipe Bwana Hashim Mbonde alizilipaga??
alipe wapi " mkuu" nadhani alikaidi amri ya mahakama...ndio maana waona kuwa leo hii yupo hapo ""
 
Deni halikimbiwi aisee ajichange change akalipe hela za watu.

Na usawa huu ulivyo tight kama bikra mill240 kuzipata watu wanaweza kumshikisha ukuta ili wamlipie au asubiri aende jela.
Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
 
Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
M 250 unadhani ni pesa ndogo or zile show off za wasanii wetu zinakufanya uamini wasanii wetu wakibongo wana hela....ndugu yangu hakuna msanii bongo tajiri wote maskini tu wametofautiana kidogo
 
Hawa watu wenye vijipesa kwa kihasi kikubwa wamepata kwa dhuluma tu.
 
Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
Ml 250 unaichukulia poa eehh "" Acha masihara kabisa ...hao hela ya kumlipa hawana " halafu niwatu wanaoamini ushirikina mnooo" usikute sababu zilizofanya wasimlipe ilikuwa nikwenda kumroga hakimu na mwenye madai wapate kuifuta hiyo kesi "" lakini wamemkuta hakimu na shekhe ni vyuma vya pua " so albadir zao zimedunda ""
 
Mwaka huu Shehe lazima aoe wake wengine .
 
Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
Mkuu naona kama unatania,akili yangu inanituma hivyo.......

Huyo kiongozi wao Mondi wiki mbili nyuma tumetoka kumzika mjomba'ake pale Ilala akiugua homa ya mapafu angekuwa na hela za kutosha kiasi cha kwenda kumlipia huyu Tale ambaye siyo damu yake si angempeleka hospital nzuri hata hapo Nairobi?

Wasanii wengi mbwembwe tu wasikujaze upepo sometimes hata bank mill500 hana wao daily mtaani kujionyesha onyesha.
 
Siamini kama crew ya WCB inaweza kushindwa kumlipia member wao 250M...unless Tale mwenyewe alete jeuri tu kukwepa makusudi kumlipa ustaadh hela yake.....
Ela ya WCB inabaki kuwa ya WCB. Leo hii meneja wa Azam adaiwe, Alafu ategemee Azam wamlipie, hamna kampuni itakayofanya ujinga huo hata Bill Gates na Microsoft hawawezi kufanya upuuzi huo.
 
View attachment 784445

Ufafanuzi.....
Tale ametiwa mbaroni kwa amri ya mahakama kuhusu kesi ya madai ya Bwana Mbonde ambaye anamdai Tale 240 Milioni,hivyo kesi haihusiani na taarifa ya makosa ya mtandao kwa kuvujisha video ya Nandy kama inavyosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Hawa waswahili wenzangu wanafikiria kuloga tu....wanajua uchawi unawafanya watu wasahau. Mambo gani babu Tale????
 
M 250 unadhani ni pesa ndogo or zile show off za wasanii wetu zinakufanya uamini wasanii wetu wakibongo wana hela....ndugu yangu hakuna msanii bongo tajiri wote maskini tu wametofautiana kidogo
Mmh! Mkuu unataka kusema Diamond hana mil 250??? Ndugu huyu jamqaa anapiga show kwa zaidi ya mil 50.
 
Nimeamini watu hutumiana..Diamond na wasaniii wenzake wapo tuliii kama vile hawamjui Babu Tale, wanapost show za Harmonize tu.
 
Back
Top Bottom