Babu Tale afikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande...

Mkuu kuna tofauti hapa,
Vodacom ni Kampuni Kubwa yenye shareholders mbali mbali, na Management huingia mikataba kwa manufaa ya Kampuni nzima. Tofautisha na Kampuni ya Mfukoni ya kifamilia ambayo mko wawili tu mnaamua kupiga deals kila mtu na dili zake lakini mnatumia jina la kampuni ili kuhalalisha.
 
kila siku yeye na mwarabu sallam wamekuwa wakisema kuwa clouds inawanyonya wanamuziki walio chini yao mpaka wamefikia kuanzisha media house zao dizzimtv,dizzim online,na dizzim fm plus wasafi tv

Ila kumbe na wao majizi wakubwa haya fanyeni kumlipa shekh wa watu hizo pesa zake acheni dhuruma sio nzuri
 
basi haya ndio matokeo ya kampuni za mifukoni na mambo ya kujiita wakurugenzi katika papers. mahakama haingalii kampuni ya mifukoni au Voda wao wanatizama ni kama kampuni kama walivyojiandikisha wao na vyeo vikubwa kuliko uwezo wa kampuni.
 
Janja Janja nyingi kwenye maisha ya watu "" sasa hivi wamekutana na Chuma cha pua...kama hajaweka bond nyumba yake ..ili akopeshwe hiyo hela sijui " na bond ya kiasi hicho itategemea na hadhi yenyewe ya nyumba na mahala ilipo "" kama ipo mchamba wima huko " ndio basi tena imekula kwake """ ......usawa huu nani wakukukopesha au wakukupa "" ml.250 kwa acapela tu """ .....labda bashite aingilie kati "" usikute hapo " diamond mwenyewe alikuwa anamtamni mkewe kitambo "" so anasubiri jamaa aende jela aanze kumt......... hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…