Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamposti akiwa mahakamanikwal io ulitaka waposti nini?
Mkuu kuna tofauti hapa,Mimi sijui hiyo kampuni lakini kawaida ya kila kampuni inavyoingia mkataba kuna taratibu zake ni watu gani wanatia signature ili uwe mkataba halali. mkataba hauwezi kuwa halali kama taratibu hazikufwata. kama marehemu alitia mkataba kama yeye basi ni mali za marehemu kuuzwa ila kama kuna watu wanaanzisha kampuni hata kama na ndugu bila kuwa na makubaliano kampuni iendeshwe vipi na maamuzi yatolewe kwa utaratibu gani ni shida. mimi siwezi kusema kitu sababu sijui kampuni yao ilikuwa na utaratibu gani ila kwa kuwa mahakama imemuona na hatia basi kuna kitu kinamfunga katika mkataba. kama ulivyosema ni lazima awe mpole aweze kumaliza nje ya mahakama.
Kwa hiyo wakimposti akiwa mahakamani, itamfanya atoke au itamfanya Sheikh asamehe mil 250?wamposti akiwa mahakamani
Hao wengine tunaowajadili wamo humu jamiiforums?sallam Yuko humu jamii forums ?
Wa mascut japo anasema mtu wa moro ila moro hatuna rangi ilesallam ni mwarabu...?
Hao wengine tunaowajadili wamo humu jamiiforums?
Dr. Shikawengine wakina nani Kwa mfano?
basi haya ndio matokeo ya kampuni za mifukoni na mambo ya kujiita wakurugenzi katika papers. mahakama haingalii kampuni ya mifukoni au Voda wao wanatizama ni kama kampuni kama walivyojiandikisha wao na vyeo vikubwa kuliko uwezo wa kampuni.Mkuu kuna tofauti hapa,
Vodacom ni Kampuni Kubwa yenye shareholders mbali mbali, na Management huingia mikataba kwa manufaa ya Kampuni nzima. Tofautisha na Kampuni ya Mfukoni ya kifamilia ambayo mko wawili tu mnaamua kupiga deals kila mtu na dili zake lakini mnatumia jina la kampuni ili kuhalalisha.
Saaaafiiii[emoji113] [emoji113] [emoji113]Hao wengine tunaowajadili wamo humu jamiiforums?
Then What?wamposti akiwa mahakamani