Babu Tale afikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande...

Atalipiwa na Rais wa Manzese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wote wa mjini aka Wajanja wa Mjini LAZIMA wapate their day of reckoning in a Criminal Court of Law. Because most, if not all of them, are mean-spirited crooks and criminals operating on the boundaries of Law for maximum profit and/or private gain.
 
Hao wengine tunaowajadili wamo humu jamiiforums?

Duh swahiba kua na huruma kidogo maana umerusha jibu la kibabe [emoji23][emoji23] maana selebriti pekee aliepo umu ndani ni Le Mutuz.
 
Bashite kashafanya yake ya kumpost na kuweka viashiria vya "daddy is coming"
 
Kampuni ndio inatakiwa ilipe na babu tale , hao wadeni watafute Mali ya kampuni na kuzikamata
 
Utetezi wa babu tale wa hovyo hivi hakuajili mwanasheria? Yaani kampuni iliyosajiliwa brela na ipo chini yake hajui inajihusisha na nini? Inamaana walikuwa wanafanya mambo yasiyo kwenye articles of association? Na je kampuni haitunzi kumbukumbu kiasi kwamba alikuwa hajui kama kampuni inadaiwa hata baada ya kaka yake kufariki?
Haya ni matatizo ya kuendesha kampuni kihuni.
 
Sheria ya makampuni inawataka wote Vodacom na hizo kampuni zingine kuzingatia sheria. Hakimu hana kipimo cha kutofautisha kampuni ya mfukoni na kampuni kubwa. Kampuni ni kampuni tu hata kama inamilikiwa na wanafamilia share ngapi haijalishi kuna msemo wa wanasheria wanasema "one share is enough".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…