mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kwani babu tale ndio alimfundisha madawa mpaka alaumiwe?
Huko soba house sio clubbibilcanaz huyu kijana anatafuta kifo hakeAkizungumza na E news ya East Africa Tv mkuu wa Bagamoyo sobber house amesema chanzo cha Chidi Benz kuondoka kwenye kituo chao ni kutelekezwa na waliompeleka.
Anasema tangia Chidi apelekwe pale hakukuwa na huduma zozote zinazotumwa kama walivyokubaliana na kila walipokuwa wanamtafuta Babu Tale hakuwa tayari kupokea simu wala kutoa ushirikiano.
Anasema pia kukosekana kwa vitu muhimu ndio vilifanya Chidi aondoke na wala hakutoroka.
Japo Sijajua ni vitu gani walikubaliana awe anapeleka.
My take, kama ni kweli hii ishu basi Tale amekosea sana hakufanya uungwana. Ni kama kamtumia Chidi kupata kick.
Unajua mahitaji ya watumia madawa. Yaaninyeye kwenda kumptupa kule ndio aliona inatosha wanahitaji psychological support ya hali ya juu. Alikuwa anahitaji kutembelewa na kupewa moral support! ukitaka kutoa msaada toa kikamilifu! Hakikisha lengo ulilokusudia linatimia.kama alikuwa anapata chakula, malazi na matibabu yaliyo mpeleka hapo, kipi cha muhimu kuliko hivyo? Au alikuwa anataka apelekewe unga wa kushtua kidogo?
Amepelekwa kwenye matibabu akae atulie, kutembelewa , kutembelewa kwa nini asililie kutembelewa na familia yake amlilie Babu Tale? ndie aliemtuma atumie huo unga?! Atajibeba maisha ni yake wala si ya Babu.Unajua mahitaji ya watumia madawa. Yaaninyeye kwenda kumptupa kule ndio aliona inatosha wanahitaji psychological support ya hali ya juu. Alikuwa anahitaji kutembelewa na kupewa moral support! ukitaka kutoa msaada toa kikamilifu! Hakikisha lengo ulilokusudia linatimia.