Babu Tale alimtelekeza Chidi Benz sobber house - Mkuu wa kituo

Babu Tale alimtelekeza Chidi Benz sobber house - Mkuu wa kituo

Sio kweli hizo habari ni mkuu gani wa kituo aliyetoa habari hizo? Tusimpakazie mkuu wa kituo wakati hajawahi kuongea na mtu yoyote.hata yule msaidizi wake aliongea na waandishi wakaandika wanavyojua wao.lkn kalapina akalitolea ufafanuzi kua hakutoloka alikwenda kuchukuliwa kumalizia project walioianza.kabla na baada kutoka sorber
Jana mkuu wa kituo aliongea na enewz so tuliza ball
 
Msosi alikuwa anakula, mazoezi anafanya, huduma kama muathirika alikuwa atapata. Kilichomkimbiza nini kama sio kituko
 
hapo ndo naielewa ile post ya YOUND DARESALAMA KUHUSU BABU TALE...
 
Wale ni matepeli wote wanapenda maigizo Sana waonekane wana pesa
 
Back
Top Bottom