Babu Tale alimtelekeza Chidi Benz sobber house - Mkuu wa kituo

Jana mkuu wa kituo aliongea na enewz so tuliza ball
 
Msosi alikuwa anakula, mazoezi anafanya, huduma kama muathirika alikuwa atapata. Kilichomkimbiza nini kama sio kituko
 
hapo ndo naielewa ile post ya YOUND DARESALAMA KUHUSU BABU TALE...
 
Wale ni matepeli wote wanapenda maigizo Sana waonekane wana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…