Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Kama nani?

Hapa tunasubiri tamko la raisi wa wanasheria,Huyu tale ni kondakta wa daladala ama nani?ana toa wapi legal authority kutusemea watanzania?Amesoma mpaka wapi?analipa kodi kiasi gani?Ni nani hasa huyu?
Kamishna wa tra anajua TIN ya huyu mtu na anajielewa?
TRA fanyieni kazi TIN za Tale ,Jb na wengine,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…