Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha unafiki,hiyo Chat ya wasapu hata mimi naweza kuitengeneza tu fekiView attachment 492455View attachment 492456View attachment 492458
Asubuhi ya leo katika hali ya kushangaza ambayo wajuzi wa mambo walijua haina nia njema, BABU TALE alipost kuhusu kutekwa kwa ROMA NA MONI. Katika post yake bwana TALE alisema yeye anataka 'swahiba wake' ndugu Paul Makonda aeleze umma ni wapi walipo kina Roma eti kisa yeye ni M/Kiti wa Kamati ya Ulinzi.
Tale aliwataka wasanii wenzake kukutana kwenye studio za Tongwe ili wapange cha kufanya. Wasanij wengi walifika hapo walipoambiwa wakutane, wakasogea mpaka Coco beach na hapo TALE alithibitisha uwakili wa shetani.
Tale ambaye awali alionekana kuitisha Mkutano eti alisema Mkutano ukafanyike nyumbani kwa Makonda ( NONSENSE ). Nusu ya wasanii waliokuwa pale tulikataa, na wachache walienda huko kwa Makonda.
Tangu awali nia ya TALE ilionekana ; amepanga na Makonda ili watu waanze kumzungumzia Makonda kisha akijfanye shujaa eti afanikishe kupatikana kwa kina Roma. Wanacheza mchezo wa kipuuzi kwenye maisha ya watu kwa lengo la kumrudisha makonda kwenye vinywa vya watu. Juzi hapa Makonda kaenda Ofisini kwa kina Babu Tale ( WASAFI ) lakini kiki ile ikafeli.
Hivi sasa wakati watu wanahisi 'Bashite' kuhusika kwenye utekaji, TALE anajaribu kucheza na akili za watu kumsaidia Bashite.
[HASHTAG]#WAPUUUZWE[/HASHTAG].
HahahahaThis is Non Sense!!! Mimi Nilijua Tu Kuna Maigizo Sababu "Babu Tale" Hana Ujasiri wa Kumsema Makonda Vibaya
"Babu Tale" You are a Stinking Sh**T
![]()
Wanaotaka kuoa wanawake wenye makalio makubwa mkipata watoto wakiume ndiyo matokeo yake!Huyo alievaa skini na kofia ni nan?mana anazigo hko nyuma[emoji125] [emoji125]
hahahahaha mkuu unanifanya nicheke kwenye mambo ya huzuniKama polisi hawana habari. Wananchi tuamke tujilinde wenyewe dhidi ya hawa watoa roho wa bashite. Mtu akikujia usk kwa sijui mahojiano gani muwahi na panga hamna jinsi.. Inchi imekaa kushoto hii
Wakuu mi nashangaa kuona Mkuu wa mkoa yupo kimya tu. Hata hajishughurishi juu ya matukio ya watu kupotea mkoani kwake.
Au ndyo tuhisi kuwa na yeye anausika? Maana inasemekana kuwa kwenye mambo yanayomgusa huwa hayashadadii. Kwa mfano swala la wafanyakazi hewa alilishikia kidedea ila tulipofika kwenye wafanyakazi wa vyeti fake alikuwa kimya. Hata hajawai sikika akizungumzia vyeti fake vya wafanyakazi.
Anavyokaa kimya kwenye mambo kama haya, sisi tunaoread between the line tunakuwa tumeisha pata jibu.
Hivyo hivyo kwa mkulu.anavyokaa kimya kwa mambo kama haya na yeye anatupa question mark. Ni kama vile alivyomute kwa Lugumi na vyeti fake vya bashite.
Pamoja na kwamba yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani kwake, hawez akapoteza muda kum release Roma wakati anajua hawez kuwekwa kwenye font fegi za magazeti.Wakuu mi nashangaa kuona Mkuu wa mkoa yupo kimya tu. Hata hajishughurishi juu ya matukio ya watu kupotea mkoani kwake.
Au ndyo tuhisi kuwa na yeye anausika? Maana inasemekana kuwa kwenye mambo yanayomgusa huwa hayashadadii. Kwa mfano swala la wafanyakazi hewa alilishikia kidedea ila tulipofika kwenye wafanyakazi wa vyeti fake alikuwa kimya. Hata hajawai sikika akizungumzia vyeti fake vya wafanyakazi.
Anavyokaa kimya kwenye mambo kama haya, sisi tunaoread between the line tunakuwa tumeisha pata jibu.
Hivyo hivyo kwa mkulu.anavyokaa kimya kwa mambo kama haya na yeye anatupa question mark. Ni kama vile alivyomute kwa Lugumi na vyeti fake vya bashite.