Babu tale amekili kuwa yeye ni mganga ila muziki ndio ulimtoa huko

Mi huwa nakaona kambea mbeaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee huyu jamaa itakuwa anafanya kazi mbili nini mana msanii ukikataa kukaa chini yake hata uwe na kipaji kama michael Jackson utadorora rejea kwa keisha tundaman na wengine wengi
 
Aisee huyu jamaa itakuwa anafanya kazi mbili nini mana msanii ukikataa kukaa chini yake hata uwe na kipaji kama michael Jackson utadorora rejea kwa keisha tundaman na wengine wengi
Ha ha ha
 
Kumbe tale ni tapeli anaejificha kwenye kichaka cha uganga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…