Tetesi: Babu tale amterekeza Chid benz

Tetesi: Babu tale amterekeza Chid benz

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye akafanya track pale wasafi records Akiwa amemshirikisha Raymond unaambiwa amemterekeza baada ya kuona return yake ya matibabu hajirudi wakati yeye alimbebesha sana mzigo Enzi zake sasa Chid benzino yupo zake ilala Hana hamu
IMG-20160907-WA011.jpg
 
Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye akafanya track pale wasafi records Akiwa amemshirikisha Raymond unaambiwa amemterekeza baada ya kuona return yake ya matibabu hajirudi wakati yeye alimbebesha sana mzigo Enzi zake sasa Chid benzino yupo zake ilala Hana hamu View attachment 395572
Yeye alifanya hivyo kwa utashi wake lakini wewe hujazuiwa kuendeleza pale alipoacha 'KUTOA NI MOYO'
 
kwan mpka pale alipofika mlitaka tale amsaidiaje tena? au mliwaza chid benz atakua kama wale wakina rayvany na harmonize? chid lazma na yeye aonyeshe kiu ya kufanikiwa otherwise atapotea tu
 
watanzania tunapenda sana kulaumu jamani, kha, sasa wewe ulitaka baada ya hapo amchukue nyumbani kwake akamlee kama mwanae? ndo yale yale ya Ray c, msaada mkuu kwa teja ni kukubali tatizo then akipata msaada asaidike lakini sio tena kuwa mzigo wa msaidizi
 
Kweli laana ya kumtukana mzee lowassa inamtafuna kijana sasa anatapatapa naona waliomutuma wamemwacha ahangaike na balaa lake!
 
kwan mpka pale alipofika mlitaka tale amsaidiaje tena? au mliwaza chid benz atakua kama wale wakina rayvany na harmonize? chid lazma na yeye aonyeshe kiu ya kufanikiwa otherwise atapotea tu
Amsimamie awe kama Diamond mbona yeye poda alibeba pia kama anavyobeba uyu wa sasa
 
Amsimamie awe kama Diamond mbona yeye poda alibeba pia kama anavyobeba uyu wa sasa
unafikir diamond ni kwa sababu anasimamiwa na tale bas ndio umaarufu wote umepitia pale ndio maana hatafanikiwa since mnahtaj awe kama mtu fulan
 
babu tale akili kaielekeza kwenye kesi yake
 
Back
Top Bottom