Tetesi: Babu tale amterekeza Chid benz

Tetesi: Babu tale amterekeza Chid benz

Alimdhihaki sana anayedhaniwa kuwa fisadi no. Tanzania..
 
Awe anambeba mgongoni, Na kumnywesha maziwa Na kijiko.

Yaani Mtu kwa ujinga wake mwenyewe ajitumbukize kwenye starehe aliyoichagua, halafu walaumiwe wengine kwa maisha aliyojichagulia. Bongo bwana!

Mtoa uzi network inaanza kupotea. Inabidi asiwe anakaa mbali na mnara.
 
apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa..
Kha afanyiwe yote hayo ili wagundue nini kutoka kwa chidi?
 
Kwani kwenye sembe walikuwa wote, mbona hata hapo kamfanyia makubwa. Huyo Chid kwani alizaliwa kiotani, hana ndugu?
 
Back
Top Bottom