Yeye alifanya hivyo kwa utashi wake lakini wewe hujazuiwa kuendeleza pale alipoacha 'KUTOA NI MOYO'Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye akafanya track pale wasafi records Akiwa amemshirikisha Raymond unaambiwa amemterekeza baada ya kuona return yake ya matibabu hajirudi wakati yeye alimbebesha sana mzigo Enzi zake sasa Chid benzino yupo zake ilala Hana hamu View attachment 395572
apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa..Unataka asaidiweje?
apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa..
apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa..
Amsimamie awe kama Diamond mbona yeye poda alibeba pia kama anavyobeba uyu wa sasakwan mpka pale alipofika mlitaka tale amsaidiaje tena? au mliwaza chid benz atakua kama wale wakina rayvany na harmonize? chid lazma na yeye aonyeshe kiu ya kufanikiwa otherwise atapotea tu
ndio mkuuYote hiyo kwa Mwezi 1???
unafikir diamond ni kwa sababu anasimamiwa na tale bas ndio umaarufu wote umepitia pale ndio maana hatafanikiwa since mnahtaj awe kama mtu fulanAmsimamie awe kama Diamond mbona yeye poda alibeba pia kama anavyobeba uyu wa sasa
Ulikuwa nae nini..??Amsimamie awe kama Diamond mbona yeye poda alibeba pia kama anavyobeba uyu wa sasa