Babu Tale kaachana na Tip top connection au bado yuko nayo? Maana siku hizi kamganda dangote kila sehemu

Babu Tale kaachana na Tip top connection au bado yuko nayo? Maana siku hizi kamganda dangote kila sehemu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wewe babu tale vipi umeamua kuachana na Tip top au bado uko nayo maana naona sahiv umeamua kumganda dangote .
 
Kila anayeguswa na diamond anaachana na watu wake wa zamani anaongozana naye kila sehemu
 
mfuate huko tandale kamuulize
sidhani Kama Ana account humu
 
Fid q alishasema bila shaka nikikumbusha utaelewa...
alisema "Kama haileti hela basi haimeki sensi.

Hivyo Babu tale kamwe hawezi kuhangaika na watu ambao hawaleti hela anayo hitaji...
 


KAA TAYARI-BOSS KAMGANDA DANGOTE KAISAHAU TIPTOP--MANZESEEEEEE SIKU HIZO WADADA WANAUZA (_0_) TOKA MASAKI MPAKA MABIBO KOTEEE WIGO WIGOOOO.(BRIGHT FUTURE BEHIND YOU)
 
wcb anapata ugali mtamu na safari za hapa na hapa tena uko wcb hatoki mtuu labda afanye mtuu makosa makubwa kama aliyo yafanya kisura aka kifesi na Q boy msafi
 
Meneja wa Tiptop amekuwa Madee, sasa ulitaka Tale aendelee kummanage Dogo Janja ili apate nini? Mtoto mwenyewe hata hela ya kununua sidiria ya Uwoya haipati
 
Back
Top Bottom