Babu Tale kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kulipa Milioni 200

Babu Tale kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kulipa Milioni 200

Sa' Shekhe Hamis Mbonde shida yote hiii ya nini Ustaadhi wangu?!Haya mambo ya DVD cjui kufanya nini cjui ni mambo ya kidunia tu haya sheikh wangu! Waonaje basi badala ya hiyo TSh. 250 Million, mie nikakuombea dua tu kwa Mola wako, yakaisha manake akhera ni bora zaidi kuliko hayo mapesa! Kama unauona huu uzi; comment "Inshallah" nianze kukusomea dua sasa hivi!
 
Back
Top Bottom