mashabiki wengi wa muziki wa bongo fleva tunamjua babu tale kama meneja wa tip top... wasanii kama madee, tundaman, dogo janja, keisha na wengineo wote wapo chini ya babu tale...
ila bosi baada ya kupata kauchochoro WCB kaamua kuitelekeza kabisa Tip top na kukomaa na WCB kama yake vile....
kiukweli huu ni uamuzi wa kiume sana na wa busara ameufanya kwa maisha yake na hata familia yake...
kweli zama hizi ukomae na tundaman, madee au dogo janja umuache diamond ambaye safari za nje ya nchi za kumwaga, biashara za karanga na ma perfume.. mara redio mara tv... yaani kula sehemu ni hela tu...
mwanzoni nilikuwa namshangaa babu tale ila now nimeelewa hata ningekuwa mimi tip top na kina tundaman wangenisamehe tu kiroho safi ningewatelekezaaa