Babu Tale kumsaidia Chid Benz

Babu Tale kumsaidia Chid Benz

Chidi hastahili msaada zaidi ya ule wa kuacha dawa

He disrespected everyone in the industry, degraded all the young kids who went to him to seek for advice etc.
 
NAMSHAURI BABU TALE ASIMSAIDIE KABISA HUYU JAMAA KIMZIKI..AMSAIDI KUONDOKANA NA MADAWA YA KULEVYA.. MUDA WAKE ALIPEWA NA AKASHINDWA KUUTUMIA NA KUFANYA UBABE...BABU TALE WASAIDIE VIJANA WADOGO WANAOCHIPUKIA KIMUZIKI NA WENYE VIPAJI NA HAWANA MTU WA KUWASAIDIA.. HUYU CHIDY ASAIDIWE AONDOKANE NA MADAWA YA KULEVYA THEN ABADILISHIWE KAZI(KAMA MAGUFULI ANAVYOWACHAMBUA)..IKIWEZEKANA APEWE JEMBE AKALIME HUKO BAGAMOYO, AU KISARAWE..

Wenzio washaona fursa hapo!
 
Chidi hastahili msaada zaidi ya ule wa kuacha dawa

He disrespected everyone in the industry, degraded all the young kids who went to him to seek for advice etc.
ngada inaaribu sana hichi kizazi, fikiria mtu kama chidi...! badilika mkubwa...bado tunakuhitaji! naamini mpaka leo hakuna mpiga show live mkali kama wewe hapa bongo.
 
si alimpigaga ray c huyu?? akamwombe msaada teja mwenzie ray c...mwenzie anatumia dozi za methadone na yeye si akatumie anataka msaada gani? kama pesa hatutoi , akameze dawa huko mxiee
 
Wasanii wengi wanajisahau, Elimu hawana then wengi wao wanatoka kwenye familia duni, wengine walibahatika kuwa na vipaji, badala watulie watumie vipaji vyao kubadilisha maisha yao wanaanza kuiga mambo ya kipuuzi, unakuta msanii aki hit kidogo tu basi kosa anaanza kuvuta bhang na kila kitu, wakianza kuharibika wanakimbilia mashabiki wawasaidie, sie msaada ambao twaweza kuwapa ni kusapoti kazi zenu basi na kuhudhuria shoo mpate pesa za kiendeleza maisha, vinginevyo mjisaidie wenyewe, huyo chid alikuwa ana kipaji kizur, misifa imemponza kaenda kubwia unga, then anataka msaada mxiee, msaada wetu akaingie studio achane tutamsapoti vinginevyo aende kumeza tu dawa aiseh atulie hakuna aliyemtuma kula dawa
 
Chid Benz a.k.a chuma, ambae hivi karibuni afya yake imeshtua wadau wengi wa muziki na hata wale wasio wadau, kutokana na kudhoofika sana jambo ambalo kwa kiasi kikubwa limechangiwa na utumiaji wa dawa za kulevya.

Mkali huyu wa "Dar es salaam stand up", alikiri na kuonesha majuto, na kuonesha nia thabiti ya kubadilika, hivyo kutaka msaada wa wadau mbali mbali.. Hatimaye msaada huo umewasili.

Hamis Tale au Babu Tale amejitokeza na kuonesha nia ya kumsaidia Chid benz, katika ukurasa wake wa Instagram amepost video clip anamuonesha akiwa yeye na Chid na kuandika caption inayoonesha dhahiri anayo nia ya kumrudisha chid kwenye mchezo.

Natumai huyu jamaa atabadilika kweli this time.
Vijana wengi wa Dar es salaam wameathiriwa na madawa ya kulevya . Vijana wa arusha ,bangi na viroba sasa sijui tufanyaje manake itafika Kipindi tutakosa nguvu kazi .
 
Tale nae ni kizabizabina tu,tena si yeye pekee pamoja na fella na ruge hawa watu wanajifanya wao ndo incharge wa mziki hapa bongo walionavipaji na wanaweza kujitetea wanawakandamiza,wasioweza ndo wanataka wasikike kama Ally nipishe na rubi najionea fujo tu,ndo mana siku ya msiba wa ngwair JMO na P funk walichukizwa na wale wanajifanya wataileta maiti ya ngwair kwa uwezo wao wakati ngwair alipendwa na watanzania wengi na angeweza kuchangiwa maiti yake ikarudishwa,kumbe ni kama wanamlipa mshahara marehemu,sasa nadhani tale na washkadau wenzake wanataka kumlipa marupurupu yake chid,UBINADAMU UMEKWISHA KWELI.
Mmmh! Unesha tembelewa na pepo la ng...!
Pm tafadhali
 
NAMSHAURI BABU TALE ASIMSAIDIE KABISA HUYU JAMAA KIMZIKI..AMSAIDI KUONDOKANA NA MADAWA YA KULEVYA.. MUDA WAKE ALIPEWA NA AKASHINDWA KUUTUMIA NA KUFANYA UBABE...BABU TALE WASAIDIE VIJANA WADOGO WANAOCHIPUKIA KIMUZIKI NA WENYE VIPAJI NA HAWANA MTU WA KUWASAIDIA.. HUYU CHIDY ASAIDIWE AONDOKANE NA MADAWA YA KULEVYA THEN ABADILISHIWE KAZI(KAMA MAGUFULI ANAVYOWACHAMBUA)..IKIWEZEKANA APEWE JEMBE AKALIME HUKO BAGAMOYO, AU KISARAWE..
Vijana wetu ni wabishi sana. Chidi alikuwa anaambiwa sana na baadhi ya marafiki pamoja na wazee lakini kwa vile alikuwa mkali na kunajiona yeye anaweza kujihibiti. Alivyokamatwa kiwanja cha ndege dar na unga alipopelekwa mahakamani alijitetea kwa kujutia tabia hiyo na angewacha kabisa lakini wapi. Anakwenda njia ile ile ya wenzake. BAD HABITS ARE HARD TO DIE
 
Dawa ya pombe si supu dawa ya pombe ni kuacha,kumsaidiwa na Bubu tale yaweza kuwa si suluhu ya tatizo atakapokiri na kuacha tatizo alokuwa nalo na kujitathmini ameyumba kiasi gan kimuziki mara baaada ya kuwa affected na hayo mamkitu basi anaweza pona na akurudisha heshima yake kimuziki,otherwise atakuw anapaka rangi upepo
 
Chid kiburi na dharau ukijumlisha na ujuaji ndio vimemfikisha hapa, alikuwa akiambiwa unga mbaya anatukana na akiweza anakupiga kabisa, alimpiga Ray C kisa kaamua kupa msaada wa kuacha unga demu wake chid, sasa leo chid anaomba msaada sijui yule demu wake nae amemkumbuka kwenye huu msaada maskini?
 
Of course chid alikuwa na kiburi sana na ujuaji mwingi. Alishatakaga kumpiga prof jay kwa kitu kidogo tu, alikuwa na migogoro kibao na wasanii wenzake.
Ujuaji mwingine haufai, sasa ivi ata hao wasanii wenzake hawana muda nae.
 
Ndio maana watu husema tabia yako ndio mtaji wako, ikuinue au ikudidimize, kiburi kibaya sana.
 
Back
Top Bottom