Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Mkuu unatuchanganya, mwanzo umesema vijijini mwishoni umemaliza na mjini, which is which
 
Chief, hiyo namba 8 ndio adui yetu mkubwa. Hayo yote uliyoyaona ni matokeo ya hilo "dubwasha" ulilolitaja katika namba 8.
 
Sioni kama kuna kitu anakijuwa.
Najua kuna watu huomboleza mwaka, miaka, miezi,wiki na wengine wakishazika tu kesho yake wanaendelea na maisha mengine
Maisha yataendelea haraka kwa msiba wa jirani,,, na sio kwa msiba wa ubavu wako wa kushoto,,,mkeo,,,
 
Unawasikilizaga polojo zao hao hakuna kitu kama hicho ndio wana njaa sana wengi wanaosema hivyo sijui msanii kafanya show ya 100 mil ni waongo mana ndani ya maisha yao kunanuka shida tu ila huwa wanaongea vile wakidhani kuna bwege ataingia kichwa kichwa
 
Sioni kama kuna kitu anakijuwa.
Najua kuna watu huomboleza mwaka, miaka, miezi,wiki na wengine wakishazika tu kesho yake wanaendelea na maisha mengine
Mkuu kwa wanaojuwa kusoma lugha ya picha,,,tunasema anajuwa nyuma ya msiba wa mkewe,,,nini kimefanyika,,,
 
Jamii kuwa na wasiwasi sio justification ya hayo yanayosemwa.

Evidence, Evidence, Evidence....!
Tukio lolote linapotokea huanza na suspect halafu mengine yanafuata,,,ni jambo la muda tu,,,yote atayaweka wazi yeye mwenyewe
 
Tukio lolote linapotokea huanza na suspect halafu mengine yanafuata,,,ni jambo la muda tu,,,yote atayaweka wazi yeye mwenyewe
Suspect inaweza kuwepo pia na jambo lisitokee, itaitwa Rumours.

Ninyi mmeconclude kana kwamba mna ushahidi.
 
Kina Dada ndio mjifunze hao wanaume ambao kutwa kwa waganga sijui make wangu dua tufungue ridhiki mke wangu twende uku yani kila kitu mkifanyacho lazima muende kwa mganga kitu mbaya sana hii
 

Duh
Kweli damu ya mtu haiendi bure
 
Kweli huyu jamaa since 2015 Kuna Uzi humu, angetulia kidogo kwanza kuepusha maneno ya waja, hafu morogoro mjini Kuna abood pale kumtoa kazi si ndogo.
Ubunge utateketeza wengi
Wameandika moro vijijini
 
Tatizo kwa Diamond mgawo ni wengi. Na madawa ya kulevya biashara Magufuli kabana. Sasa kisa ni popular kishajiona anafaa kuwa mbunge. Any way ni haki yake kikatiba.
Jamaa alikuwa anasukuma mihadarati?
 
Watu wajinga Sana wanataka ukifiwa ujifungie ndani? Hayo ndio mafundisho ya dini anayoifuata??
Dini gani inatwambiya ukifiwa inakataza majonzi? Kwahyo huo ubunge ni bora kuliko uliyemzika Jana?kumbuka hakufiwa na jirani muuza supu,,,kafiwa na mkewe,,tena wa ndoa,,
 
Wewe sema nikifa mimi kweli mkeo aolewe ndani ya mwezi mmoja kweli? Sio kimtanguliza mwenzio

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Yaani sasa bunge linakoelekea linakuwa kama kijiwe cha kahawa, na alikasusu.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Nilijua tu ndio kisa cha mke wake kukatishwa maisha wanaume mna wivu hasa hii dini wajameni mna ubinafsi hamtaki hata wake zenu wawe kitu wakiwa na kitu mnawaacha au mnawafanya hivi .
Mf. Hai huyu Amina Chifupa huyu dada wajameni alikuwa kichwa jamani .
Pole zake na familia.
Ubinafsi wanao sana
 
hili gazeti unge summarize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…