Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief, hiyo namba 8 ndio adui yetu mkubwa. Hayo yote uliyoyaona ni matokeo ya hilo "dubwasha" ulilolitaja katika namba 8.Ukiwataka kujua tabia halisi za watanzania walio wengi , angalia post 1 hadi 100 kama sample.
Utaona mawazo yao yamejaa kwenye
1. Uvivu wa fikra
2. Wivu
3. Kupiga majungu
4. Kupenda udaku
5. Kufuatilia maisha ya watu
6. Unafki
7. Ushirikina
8. Ignorance
9. Kutokunitambua.
Maisha yataendelea haraka kwa msiba wa jirani,,, na sio kwa msiba wa ubavu wako wa kushoto,,,mkeo,,,Sioni kama kuna kitu anakijuwa.
Najua kuna watu huomboleza mwaka, miaka, miezi,wiki na wengine wakishazika tu kesho yake wanaendelea na maisha mengine
Unawasikilizaga polojo zao hao hakuna kitu kama hicho ndio wana njaa sana wengi wanaosema hivyo sijui msanii kafanya show ya 100 mil ni waongo mana ndani ya maisha yao kunanuka shida tu ila huwa wanaongea vile wakidhani kuna bwege ataingia kichwa kichwaKuna mtu anasema ubunge ataishi maisha mazuri kuliko sasa najiuliza huwa wabunge wanalipwa 12m kwa mwezi ila yeye manager show ya msanii wao wananegotiate hadi 100m na walisema kila mtu anapercent yake kwenye hiyo hela tuseme kwa show moja manager anakula 15mna msanii wao huwa unaweza kuta kwa mwezi mzima yuko booked au hata miezi miwili so anauhakika wa kuwa na more than 50m kwa mwezi inakuaje sasa mbunge akawa na maisha mazuri kuliko manager? Au vikao hivyo anawaza per day ni 300k lakin hapo hapo ni kula kodi ya nyumba dodoma kama hajajenga na dereva wake hapo hapo wakat yeye manager show za nje ya mkoa au nchi wanalipiwa kila kitu iweje mtu aseme ubunge ubaishi maisha mazuri kuliko umanager anaofanya? Au ndo tuamini kwamba hii industry ya music hailipi bongo ndo maana kashindwa kujenga huko kwao na bado mjini bado kapanga? Au kazi zake zinamtaka aishi kwa kupanga mjini maana angejenga Goba au Msakuzi au Madale atakosa wadau wa shows? Au huko mbali atakapokaa hamna network so negotiation za shows kwa emails itakua shida? Hii industry ina makandokando mengi sana bila kureason utakua unashabikia kitu usichojua kiundani.
Mkuu kwa wanaojuwa kusoma lugha ya picha,,,tunasema anajuwa nyuma ya msiba wa mkewe,,,nini kimefanyika,,,Sioni kama kuna kitu anakijuwa.
Najua kuna watu huomboleza mwaka, miaka, miezi,wiki na wengine wakishazika tu kesho yake wanaendelea na maisha mengine
Tukio lolote linapotokea huanza na suspect halafu mengine yanafuata,,,ni jambo la muda tu,,,yote atayaweka wazi yeye mwenyeweJamii kuwa na wasiwasi sio justification ya hayo yanayosemwa.
Evidence, Evidence, Evidence....!
Suspect inaweza kuwepo pia na jambo lisitokee, itaitwa Rumours.Tukio lolote linapotokea huanza na suspect halafu mengine yanafuata,,,ni jambo la muda tu,,,yote atayaweka wazi yeye mwenyewe
Watu wajinga Sana wanataka ukifiwa ujifungie ndani? Hayo ndio mafundisho ya dini anayoifuata??Maisha yataendelea haraka kwa msiba wa jirani,,, na sio kwa msiba wa ubavu wako wa kushoto,,,mkeo,,,
Kuna jamaa fulani waliiba ,,wakabaka na kuua Dada Fulani hivi usiku,,, jambazi mmoja asubuhi akafata panga lake alilisahau Jana,,,,,watu wakapiga hadi umauti...ni muda sana hata miaka kumi imepita ,,,sikumbuki vzr ila maeneo ya goba kama sikosei,,,,damu ya mtu haiendi bure
Itakuwa ni kafara kweli nnAtafanya yanasemwa juu yake watu wayaamini sasa
Wameandika moro vijijiniKweli huyu jamaa since 2015 Kuna Uzi humu, angetulia kidogo kwanza kuepusha maneno ya waja, hafu morogoro mjini Kuna abood pale kumtoa kazi si ndogo.
Ubunge utateketeza wengi
Jamaa alikuwa anasukuma mihadarati?Tatizo kwa Diamond mgawo ni wengi. Na madawa ya kulevya biashara Magufuli kabana. Sasa kisa ni popular kishajiona anafaa kuwa mbunge. Any way ni haki yake kikatiba.
Mwanzo aliandika Morogoro mjiniWameandika moro vijijini
Jambo la muda tu mkuu,,,ataropoka mengi tusiyoyajuwa...Suspect inaweza kuwepo pia na jambo lisitokee, itaitwa Rumours.
Ninyi mmeconclude kana kwamba mna ushahidi.
Dini gani inatwambiya ukifiwa inakataza majonzi? Kwahyo huo ubunge ni bora kuliko uliyemzika Jana?kumbuka hakufiwa na jirani muuza supu,,,kafiwa na mkewe,,tena wa ndoa,,Watu wajinga Sana wanataka ukifiwa ujifungie ndani? Hayo ndio mafundisho ya dini anayoifuata??
Wewe sema nikifa mimi kweli mkeo aolewe ndani ya mwezi mmoja kweli? Sio kimtanguliza mwenzioAisee mm mke wangu akifa itanichukua miaka 3 mpaka 4 kuja kukaa sawa kiakili na hii timu ya mpira ya watoto 6 nilio nayo mbn nitapagawa nitalia na kugalagala kama mtoto mdogo japo mke wangu anamapungufu Mengi mno lakini nitapagawa na kudata mno nitamkubuka kwa Mengi sana hasa nikiwa namuangakia uyu mtoto wa mwisho binti wa miaka 2 aisee nitadata mno yani nikiwa nakiangalia kitanda nitakuwa silala aisee nitakuwa
Nawaza nitamtania nani?,nitapikiwa na nani?,nitafuliwa nguo na nani,?nitanyolewa kipara changu cha kichwani na nani dongo,?nitanyolewa ndevu na nani mana nature ya kazi yangu ndevu kila wiki na nyoa tena zote na iyo kazi ya wife.,?nitakatwa kucha zangu na kusuguliwa miguu na nani.,?? Aisee ni Mengi sitachanganyikiwa mno
Acha kabisa kusu mke wewe wanatusumbua lakini wao ndo kila kitu ndani ya nyumba...MUNGU muweke mke wangu tuzeeke pamoja..
POLE babu tale kwa kipindi iki kigumu mke anauma mno...japo wanawake wapo wengi kumpata mtu sahihi ni ishu sana...
Yaani sasa bunge linakoelekea linakuwa kama kijiwe cha kahawa, na alikasusu.Wangeweka tu kigezo degree ujue bunge letu limekuwa kimbilio la wapuuzi wasio weza hata kutunga sera, yani imekuwa sehemu ya watu kwenda kupiga hela kiurahisi, iweje dereva wa mbunge awe na form four qualification, plus Veta training huku mbunge yeye ajue tu kusoma na kuandika huko ka si kurogwa Nini?
hili gazeti unge summarizeUTUMWA/UFUNGWA WA KIFIKRA
Hili ni tatizo la kitaifa, hivi ndivyo vijana Wakitanzania wanavyoshi mitaani. Vijana ni waoga katika kufanya maamuzi binafsi wakihofia kukosolewa, kuchekwa, kusimangwa na jamii inayowazunguka. Tangu akiwa mtoto mdogo kijana wa Kitanzania anakuzwa kwenye misingi ya kufanya mambo yake kwa kuangalia "macho"na "mawazo" ya watu wengine, yaani kijana anakuzwa kutenda mambo yaliyo sahihi machoni na mawazoni mwa watu wanaomzunguka. Hii kitu imepelekea Tanzania kwa ujumla tuwe na taifa la watu tegemezi tangu kuzaliwa mpaka kuingia kaburini. Uhuru wa kifikra ni jambo la msingi sana katika maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Uhuru wa fikra ni silaha kuu katika vita dhidi ya ujinga, naam na adui mkubwa wa Tanzania na Afrika kwa ujumla ni huyu ujinga, hakuna maendeleo yatakayopatikana kutoka kwenye taifa la watu wajinga. Kuwa huru kifikra, tokomeza ujinga, maendeleo yatakuja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusameheane kwa povu, turudi kwenye mada iliyopo mezani. Huyu Babu Talent ni mtu wa ajabu kwelikweli yaani!!! Hivi haoni hata aibu!!? Watanzania tutamfikiriaje katika hili!!?