Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Mkuu
Tale kama kweli unamfutilia ni mtu wa kutengeneza kiki, kwa mfano kama hiyo kauli ya kusema anatumia black magic aliisema makusudi ili timamu pinzani wapate cha kumzungumzia. Na kweli kama alivyokusudia wapuuzi wameingia king wazima wazima kias kwamba hata kujinasua hawawezi.

Na wewe ni shahidi , hiyo kauli imepelekea watu waongee hata wasiyoyajua kumhusu Tale.
Kwahiyo unapinga kwamba hizo mambo hawafanyi ''!? Achana na masuala ya kumtoa mtu kafara ..nazungumzia ushirikina tu ambao una husisha kafara za wanyama matunda au nafaka
 
Mkuu
Tale kama kweli unamfutilia ni mtu wa kutengeneza kiki, kwa mfano kama hiyo kauli ya kusema anatumia black magic aliisema makusudi ili timamu pinzani wapate cha kumzungumzia. Na kweli kama alivyokusudia wapuuzi wameingia king wazima wazima kias kwamba hata kujinasua hawawezi.

Na wewe ni shahidi , hiyo kauli imepelekea watu waongee hata wasiyoyajua kumhusu Tale.
Bana wewe eti black magic Kiki sisi wabongo na ushirikina, mwenyewe alikuwa mganga wa hizo mambo, though hyo ya mke not sure.
 
Mbona na wewe unapangia watu Cha ku comments na usichotaka waita ignorance, tuvumiliane na kuheshimiana tu basi
Heshima ni jambo la muhimu sana lakini inapofikia mtu anadanganya watu hadharani, heshima inakaa kando.
 
Heshima ni jambo la muhimu sana lakini inapofikia mtu anadanganya watu hadharani, heshima inakaa kando.
Heshimu gani yeye kakiri ni mganga ata mama mkubwa wake mganga Sasa wewe ni Nani kwenda kinyume na maneno yake mwenyewe, au umekuja kujisafisha huku baada ya mambo kuharibika yeye ndo kajivunjia heshima.
 
Acha nicheke khaahaaaaaaaa haaaaaa uyo anajisumbua awezi kabisa kumtoa abood bus hapo Youngtong ndani ya nyumba labda aenda akagombanie samvura chore
Sio Moro mjini , Moro vijijini abood ni mbunge wa Moro mjini.
 
Ningekuwa nasapoti haya mnayosema ndo ungesema ni umbea.
Mwanaume hauwezi ukakaa kujadili maisha ya mwenzio. Hata kama babu tale kafanya hayo mnayosema mwanaume wa kweli hawezi kushangaa maana ni mambo ya dunia yapo.
Ila muwe na uhakika.
Na msimpangie mtu aishi vipi
Usingeingia hata hapa kusoma, upo upate umbeya tu[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Heshima ni jambo la muhimu sana lakini inapofikia mtu anadanganya watu hadharani, heshima inakaa kando.
Humjui tale wewe kaa kimya.

Tale namjua ni mganga wa jadi Kama waganga wengine. Usitake tuandike ya sirini.

Narudia tena huna unalojua you better shut
 
Wanazengo watasema kamtoa mkewe sababu ya ubunge🤔
Nawaza tu hapa
 
Humjui tale wewe kaa kimya.

Tale namjua ni mganga wa jadi Kama waganga wengine. Usitake tuandike ya sirini.

Narudia tena huna unalojua you better shut
Haswaaaa muambie huyo ajue, alaaaaah
 
Back
Top Bottom