Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Anaweza kukataa, mishipa ya aibu ilishakatika
Siyo aibu peke yake na AKILI HANA, tukisema kamtoa mkewe kafara atakataa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo aibu peke yake na AKILI HANA, tukisema kamtoa mkewe kafara atakataa?
Hiyo ni kila mtu anaamini hivyo,,sasa mbaya zaidi na hicho anagombea aje akikose,,,,aisee!!!! Ataumia Mara 2Hata mie inanisukuma niamini kwa kweli, hakiwezekani hata 7 hakijaisha kufanya hayo anayoyafanya
Unaweza kuthibitisha hili Mkuu?Mmmh dea sio watasema, ni uhalisia kamtoa kafara mkewe ili apate ubunge.
Inamana mke alijua kwamba anaondokA? Jamani imagine nafsini mwake alikua anawaza nn pindi akiwaza wanawe atavyowaacha day,Hasa alipokuja Mh. flani ambaye ameachiwa jukumu la watoto na ambapo Mke alienda kule kuacha wosia basi kilio kikapandishwa weeeeeee.....lakini ukiendelea kuangalia picha na matukio unaona kabisa ni mapichapicha..................mbaya zaidi haya mambo hayajifichi SIJUI NI KWANINI
Mbona na wewe upo hapa kujadili Mambo ya tale sioni utofauti wangu wa Mimi na wewe, yeye mwenyewe alisema ni muganga ndio maana watu Wana hisi kafanya yake, by the way hii mada sio kutoa kafara ni issue yake hata week haijaisha kaanza hzo kampeni za ubunge wakati mchakato wa chama bado.Kuchangamsha genge kwenye maisha ya mtu?.
Mnadhani babu tale atajisikiaje akijua kuwa mnamjadili humu amemtoa kafara mkewe?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
You have said there is no single perspective in life aspects so if someone lean on western culture that is how he perceives life, because we all perceive it differently.western culture is not bad at like education, technology.There is no single perspective in any aspect of life, currently most vuvuzelas are dubiously imitating Western culture, and yet they can vomit shit in a perceived and barbaric presumptions only. Please, kindly live ur contemporary in all aspects. Dynamics should not be by skewness only.
Uthibitisho ni hayo ayafanyayo yeye mwenyewe talle, akikosa ubunge hilo juu yake yeye binafsi. Huenda kafara inatoa chozi ooh.Unaweza kuthibitisha hili Mkuu?
Na asipopata huo Ubunge?
You have said there is no single perspective in life aspects so if someone lean on western culture that is how he perceives life, because we all perceive it differently.western culture is not bad at like education, technology.
Fuatilia mkuu,, wazungu,wahindi ,,waarabu wachina wametuzidi sana uchawi....tatizo letu sisi Africans ni roho mbaya na chuki ndy zinatusumbuwa,,kwa hilo tumewazidi wazungu..huko ulaya wapo wapiga ramli,,wapo waganga pia,,,kwa taaluma zao..Kama hujuwi mkuu...Thibitisha unaloongea
kitendo cha hata siku 5 hazijafika kusema Nitaweka kambi Morogoro goro,,means hana uchungu wowote wala majonzi ya msiba,,hicho ni kipimo tosha cha kile kilio chake kisichokuwa cha machozi...tena watu wamemsihi aachane na mipango hyo kwa sasa,,lakini bado kashikilia msimamo wake,,huoni kama kuna kitu anakijuwa?Wanataka muda gani upite ndio akagombee?
Wanazengo watasema kamtoa mkewe sababu ya ubunge[emoji848]
Nawaza tu hapa
Anapaswa ajuwe damu ya mtu haipotei bure...unadhani kitendo cha yeye kuendelea kugombea uongozi hata kabla ya siku 7 za mauti ya mkewe kupita,, jamii itamuelewaje?akitaka asieleweke vibaya basi aachane na mpango huo,,,,halafu fuatilia kile kilio chake msibani mbona machozi yalikuwa hayatoki? zaidi ya kutingisha kichwa na kulia kwa ishara...machungu ya kweli hayajifichi mkuu..Kuchangamsha genge kwenye maisha ya mtu?.
Mnadhani babu tale atajisikiaje akijua kuwa mnamjadili humu amemtoa kafara mkewe?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Anapaswa ajuwe damu ya mtu haipotei bure...unadhani kitendo cha yeye kuendelea kugombea uongozi hata kabla ya siku 7 za mauti ya mkewe kupita,, jamii itamuelewaje?akitaka asieleweke vibaya basi aachane na mpango huo,,,,halafu fuatilia kile kilio chake msibani mbona machozi yalikuwa hayatoki? zaidi ya kutingisha kichwa na kulia kwa ishara...machungu ya kweli hayajifichi mkuu..
Hivi ingekuwa aliyetolewa kafara ni binti yako,,au ndugu yako ungesema mambo ya dunia?wale watu wote waliopo magerezani hawakufanya ya dunia? mbona wamehukumiwa? mlozi hana option ikifikia kipindi cha kafara,,,,utapewa sharti utoe mwanao tena unayempenda,,au mke....yeye tale kachaguwa kutoa mke,,,kwa anachokifanya sasa ,,ni athari za damu ya mkewe kujidhihirisha maovu yake,,na atafanya mengi ya aibu kabla ya 40 ya mkewe.....na tunamjadili tale kama tunavyowajadili walozi na washirikina wengine..Ningekuwa nasapoti haya mnayosema ndo ungesema ni umbea.
Mwanaume hauwezi ukakaa kujadili maisha ya mwenzio. Hata kama babu tale kafanya hayo mnayosema mwanaume wa kweli hawezi kushangaa maana ni mambo ya dunia yapo.
Ila muwe na uhakika.
Na msimpangie mtu aishi vipi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mang'ana wasalikike mulaaaaa....Mkuu,
Mula umenena maneno kuntu sana
Hilo lijamaa halina soni kabisa na yawezekana
maneno yanayosemwa hapa na wadau yakawa ya kweli.
Hivi kweli cheo kina thamani kushinda utu?
Ama kweli wonders shall never cease.