Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Hahahah unamuona mume anaongelea chupi zake chafu in public

Dunia inaenda kasi sana
Acha tu, ana ndugu na familua, watoto pia halafu anasema amedekezwa hata kufua chupi hawezi, halafu unaambiwa huyo ni kichwa cha familia na ni kiongozi wa wananchi

Imagine baba hajui kufua hata chupi, sijui kama anaweza hata kuogesha mtoto in case mama ni mgonjwa
 
Acheni kubeza kila mtu kuna namna Kaumbwa huwez kubadilisha hilo na umechukua kipande tu cha clip hujui alikuwa anaongelea nn
 
Back
Top Bottom