Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Acheni kubeza kila mtu kuna namna Kaumbwa huwez kubadilisha hilo na umechukua kipande tu cha clip hujui alikuwa anaongelea nn
Hatujaumbwa tuwe wajinga bwana!
Binadamu kapewa akili na utashi.
 
Mlimchagua wenyewe sisiem , hii miaka mitano sheria zitakazo toka humo sijui zitakuwa zanamna gani maana walio ingia humo hata Mungu anashangaa wametokea wapi!
 
Si anunue machine ya kufua na ya kukausha ? Unaturn 60°C kufua chupi.Then unaziweka kwenye ya kuanika. Kazi kwisha. Kilaza kweli huyu.
 
Kam hawezi kufua chupi zake si anunue mashine ya kufulia
Hajazoea kufua chupi hata kwa machine[emoji23][emoji23][emoji23],mambo ya kukamua na kuanika hawezi eti

Ndio hawa tunategemea watuvushe
 
Kwanini uteseke kufua,kuwa mmasai wewe ni rubega unafua na raiyooo unaichovya kwenye maji ukiitoa ni mpyaaa

Kazi zingine mnajiongezea wenyewe
 
Acha tu, ana ndugu na familua, watoto pia halafu anasema amedekezwa hata kufua chupi hawezi, halafu unaambiwa huyo ni kichwa cha familia na ni kiongozi wa wananchi

Imagine baba hajui kufua hata chupi, sijui kama anaweza hata kuogesha mtoto in case mama ni mgonjwa
Ahahahaha si ana mihela mtaenda kumfulia wapenda kuhongwa😝
 
Acha tu, ana ndugu na familua, watoto pia halafu anasema amedekezwa hata kufua chupi hawezi, halafu unaambiwa huyo ni kichwa cha familia na ni kiongozi wa wananchi

Imagine baba hajui kufua hata chupi, sijui kama anaweza hata kuogesha mtoto in case mama ni mgonjwa
Ahhaahaa.
Mkewe ni marehemu tayari,sa hivi anavaa zile chupi disposable.
 
Back
Top Bottom