M Mawele Platinum Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,161 Reaction score 4,251 May 12, 2026 #1 Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa. Your browser is not able to display this video.
Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa. Your browser is not able to display this video.
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 May 12, 2026 #2 Sasa muhimbili magali ya wagonjwa ya nini na iwachukue iwapelekewapi (apo kunatakiwa kuwepo chopa kama usafir wa ziada kimataifa na sio magar)
Sasa muhimbili magali ya wagonjwa ya nini na iwachukue iwapelekewapi (apo kunatakiwa kuwepo chopa kama usafir wa ziada kimataifa na sio magar)