Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hizo uzito huwa una side effect gani. Kwani hawawezi kupigana mpaka wote wawe na the same weight?Hamna shortcut, kiduku apambane afike juu levo ya mwakinyo kidaraja kisha apunguze uzito atapigana na Mwakinyo
Kambi ya Mwakinyo inataka dau la $2,000,000/- ili apigane na Twaha Kiduku siyo V8 ya 2020.Mbunge wa Morogoro Kusini, Khamis Tale maarufu kama Babu Tale amesema ataleta gari aina ya V8 ya mwaka 2020 ili kuwashindanisha Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku
Maneno hayo ameyasema baada ya Twaha kumtwanga Dulla Mbabe kwa mara nyingine, huku lengo likiwa ni kupambana na Mwakinyo
Mwakinyo ameweka msimamo wake kuwa hatopambana na bondia wa ndani ya nchi lakini inaonekana wadau wanapenda kuona mpambano unatokea kati yao
Wadau wa Morogoro wanalalama kuwa lazima tuwe na mbabe mmoja nchini sio wawili
Kwa suala la uzito, Twaha alikubali kukata ili aufuate uzito wa Mwakinyo
Hela zinazidi miminika.
Je zichapwe!!!
Ingekuwa hivyo nae asingepigana na samWatanzania wenzangu, mwenzetu Mwakinyo ni professional boxer hawezi kupigana na street boxer... maisha yana level...
Itakuwa Gari ya diamondAisee, mwakinyo si alisema hataki kupigana na bondia yoyote wa ndani au waweke madolari ambayo team mwakinyo wametaka Sasa hayo ma Toyota ya Nini?.....watu wanataka pesa mi gari ya nn sasa. Au pesa ya iyo gari ilete bondia from abroad....itakua raha hizi harakati tuhamishie uko abroad kwa nguvu zotupo e...
Sheria za boxing zinahitaji uzito uwe sawa au kuzidiana not less than 5kgsHizo uzito huwa una side effect gani. Kwani hawawezi kupigana mpaka wote wawe na the same weight?
Ni taratibu tuu za mchezo mwakinyo kwa sasa ni global champion twaha hajafanya international games za UBO, WBO etc sasa atawezaje kufika rank io anatakiwa nacheza mapambano yanayofanana na Mwakinyo ashinde kisha aombe nae match bado ni harmatcher tuu kwa mwakinyoMwakinyo anaogopa aibu. Ki ukweli sijawahi kuelewa ubondia wa mwakinyo na hana uwezo wa kumpiga twaha