Babu Tale: Naweka V8 ya mwaka 2020, Mwakinyo apigane na Kiduku

Babu Tale: Naweka V8 ya mwaka 2020, Mwakinyo apigane na Kiduku

we tamba tu ufalme wako na diamond unakwenda kuanguka mufa si mrefu
 
Nimempenda mwakinyo na mgt yake yeye ni professional boxers sio bondia wa mtaani. Atakuja kupatapambano moja tu na kutoboa.babutale asilete mambo ya mtaani
 
Hiyo hela ya kununua V8 ya mwaka 2020 angeenda kununua madawati jimboni kwake angepata madawati mangapi, angeenda kuchimba au kuanzisha miradi ya maji Safi na salama mingapi, angetengeneza barabara zenye urefu wa kilomita ngapi au angenunua vitanda vingapi kwaajili ya mama wajawazito wangapi,?
Kiufupi wabunge wetu wengi ni matapeli na wahuni tu wanaolipwa pesa nyingi kutokana na Kodi za wananchi lakini kiuhalisia hawana input/michango ya moja kwa moja ya maendeleo kwa wapiga kura wao
 
Back
Top Bottom