Hiyo hela ya kununua V8 ya mwaka 2020 angeenda kununua madawati jimboni kwake angepata madawati mangapi, angeenda kuchimba au kuanzisha miradi ya maji Safi na salama mingapi, angetengeneza barabara zenye urefu wa kilomita ngapi au angenunua vitanda vingapi kwaajili ya mama wajawazito wangapi,?
Kiufupi wabunge wetu wengi ni matapeli na wahuni tu wanaolipwa pesa nyingi kutokana na Kodi za wananchi lakini kiuhalisia hawana input/michango ya moja kwa moja ya maendeleo kwa wapiga kura wao