GE2025 Babu Tale: Nitawajengea Kisima cha Maj wakazi wa Bwawani, ili kuondoa adha ya kuchangia maji na mifugo

GE2025 Babu Tale: Nitawajengea Kisima cha Maj wakazi wa Bwawani, ili kuondoa adha ya kuchangia maji na mifugo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamisi Taletale, amesema kuwa endapo wakazi wa Bwawani, Kata ya Mkambarani, watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anatekeleza mradi wa kuchimba kisima cha maji ili kuondoa adha ya kuchangia maji na mifugo.

Taletale ametoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kampeni katika eneo hilo, ambapo amesema kuwa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu na mifugo ni kubwa, na kwamba kupitia mradi huo, hali hiyo itawekwa sawa.

 
Back
Top Bottom