Pre GE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

Pre GE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇

Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na ukarabati wa vituo vya afya vilivyopo kwenye jimbo lake kwa kuwa bado anatamani kuendelea kuwa mbunge.

"Rais kama utaondoka Morogoro haujaizungumza Ubena Zomozi - Ngerengere, hujaisema Bigwa Kisaki, mwanao tunaondoka wote, na mimi hii kazi naipenda mama na wewe unafahamu mimi ndio mziwanda wako mama,” amesema Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale.

Amesema hayo Jumanne Agosti 6, 2024 wakati akitoa salamu kwenye mkutano wa hadhara unaofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati Rais Samia akizindua miradi mbalimbali ndani ya mkoa huo.

Soma Pia:
Kwa kuangalia historia na matendo ya Mbunge wako unadhani 2025 anaweza kutoboa?

Siasa za Tanzania hizo. Utendaji wa mbunge ni kumuomba Rais barabara na mengineyo ya maendeleo katika jimbo lake.

Na Rais wa JMT anaamua (wakati wowote ule) barabara ipi anataka au anakubali ijengwe au iachwe kutegemea na hisia zake na uzito wa m’bembelezo wa wadau! 😎
 
Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇

--
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amemwomba Rais Samia Suluhu kuwajengea barabara pamoja na hospitali katika jimbo hilo ili aendelee kuhudumu katika nafasi yake.

My Take
Napenda kuona Rais Samia akitia neno Kwa Barabara hii ya Babu tale ya Bigwa-Kisaki.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C-VP5mzttdz/?igsh=MW5sbnJ3MHo3dmppeQ==

Huyu habari yake imeisha...
👽👽👽👽
Aliyempa ulaji hayupo....
Na mwengine yupo Cuba...
😂😂
 
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na ukarabati wa vituo vya afya vilivyopo kwenye jimbo lake kwa kuwa bado anatamani kuendelea kuwa mbunge.

"Rais kama utaondoka Morogoro haujaizungumza Ubena Zomozi - Ngerengere, hujaisema Bigwa Kisaki, mwanao tunaondoka wote, na mimi hii kazi naipenda mama na wewe unafahamu mimi ndio mziwanda wako mama,” amesema Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale.

Amesema hayo leo Jumanne Agosti 6, 2024 wakati akitoa salamu kwenye mkutano wa hadhara unaofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati Rais Samia akizindua miradi mbalimbali ndani ya mkoa huo.

Soma pia: Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda

Back
Top Bottom