GE2025 Babu Tale sina mpinzani jimboni Morogoro Kusini Mashariki, ndio maana nimeshinda kwa asilimia 91

GE2025 Babu Tale sina mpinzani jimboni Morogoro Kusini Mashariki, ndio maana nimeshinda kwa asilimia 91

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale ameeleza sababu ya yeye kukosa upinzani kwenye jimbo lake ambalo ameshinda kwa asilimia 91.
 
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale ameeleza sababu ya yeye kukosa upinzani kwenye jimbo lake ambalo ameshinda kwa asilimia 91.
Babuu wapinzani wako ni wananchi wa jimbo lako ,ni watanzania wanaodai haki,demokrasia na utawala wa sheria,ni G zs walio uliwa kinyama,ni ndugu na jamaa wa Gzs ambao wanatafutwa na familia zao ,wapinzani wako ni watanzania wasioridhika na maigizo ya uchafuzi unaoitwa uchaguzi ulio kuchafua/chagua hata wewe hivyo acha kubweteka,Tanzania ni kubwa kuliko mtu,kuliko mafisadi,kuliko machawa,kuliko wauaji wa watanzani na waamrisha mauaji ya watanzani.Hivyo jua ule msemo,There is no free lunch in China!
 
Back
Top Bottom