Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru kuendelea kuwa na matatizo yanayojirudia kila siku, Scanning Officer maoni ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamis Shabani Taletale (Babu Tale) anadhani tunafeli wapi.
Utawala wa wakoloni diyo umetufikisha hapa, hata sheria zote tulizo nazo sisi walipokuja wao tulipanga nao sheria hizi ambapo baadhi ya watu wanataka tubadilishe sheria zetu ziwe kwenye sheria zao, hata sheria ya ushoga wamekuja nao wao. Alisema Babu Tale
Kuna wakoloni weusi(watawala wa ccm ambao wanaiba maliasili) na wakoloni wazungu ambao waliijenga Nchi Kwa Kasi na wakarudi makwao.yeye aliongelea yupi kati hao?