Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
umezaliwa 2016Hivi kuna kundi linaitwa watengw bongo hii
moja Ya makund bora ya hip-hop Tanzania na East AfricaSio Watengw ni Watengwa, hili kundi halipo Bongo hii lipo Arusha.
Freestyle battle n muhimu ktk hip-hoptatizo nikki hawezi flow bila kumtaja star yoyote hii ndio inanifanya nimpotezee anajishushia hadhi mshikaji
KRS oneNyimbo kazi hizi ndo maana wakiandaa matamasha waudhuriaji ni wachache watakuwa kila siku wanalalamika wanabaniwa
Hivi wadada na wamama utawapeleka au wataenda kwenye tamasha lako wakasikileze ngoma kama hizi?
Wacha wakina alikiba, diamond na christian bella waendelee kuwaburuza
Usifananishe marekani na vitu vya kijingaKRS one
immortal technique
Tallib kwel
Mbona wanatusua tu
Kwahyo Nash Mc na Kad go sio wa dar uongo?Watengwa
fid Q
Nash mc
salu Tee
Kad Go
Hujui lolote just S.T.F.U(shut the f.uck up)Dada yangu HipHop ngumu au halisi ni ile ya Arusha by Watengwa guys na ya Fid Q kwa Tanzania hii
HipHop mnayoita HipHop wanadaslam sio Halisi ila ni RnB na taarab yenye background beat ya HipHop.
SAWA?
Ni sawa na kusema Sweet Reggae Music ni Reggae halisi kama ya Culture, Peter Tosh au Bob Marley.
SAWA?
Kubali au kataa...najua utakataa kwakuwa una spirit ya watoto wa Dsm
Hujui lolotetatizo nikki hawezi flow bila kumtaja star yoyote hii ndio inanifanya nimpotezee anajishushia hadhi mshikaji
Nan kasema sioKwahyo Nash Mc na Kad go sio wa dar uongo?
Nimekosea bana mama, mi nlijua ni dada, sorry.Hujui lolote just S.T.F.U(shut the f.uck up)
Hujui.hata hiphop ni nn mnakaa kupotosha watu tu
Manadhan kila anayerap ni hiphop hzo hiphop zenu za clouds ziishie clouds huko.huko
By the way kinachokufanya uniite Dada ni.nn?
Au we "shogake" kaoge??
Soma original msg utaelewaNan kasema sio
Hao ni wa Dar na kweli HipHop yao ni halisi, kuanzia mchano hadi beat ila usiniambie hawa wanahiphop wapya wanaimba actual hiphop.Kwahyo Nash Mc na Kad go sio wa dar uongo?
Kakosea huyu kusema chugaSoma original msg utaelewa
Dude r u insane?Nimekosea bana mama, mi nlijua ni dada, sorry.
Ni hivii...HipHop halisi sio hiyo taarabu yenu au RnB yenye background beat ya HipHop.
Halafu tunaongelea HipHop unaleta habari ya Rap...hujui hata mahadhi yake yana utofauti gani?
Wewe ni msukuma?
wapo wanaofanya real na wapo fakeHao ni wa Dar na kweli HipHop yao ni halisi, kuanzia mchano hadi beat ila usiniambie hawa wanahiphop wapya wanaimba actual hiphop.
Wanaimba hiphop mauzo tu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Hip-hop Na Rap ni tofaut sanaNimekosea bana mama, mi nlijua ni dada, sorry.
Ni hivii...HipHop halisi sio hiyo taarabu yenu au RnB yenye background beat ya HipHop.
Halafu tunaongelea HipHop unaleta habari ya Rap...hujui hata mahadhi yake yana utofauti gani?
Wewe ni msukuma?
Umbwaa mzeeDude r u insane?
Hao wote unaosema ni hiphop artist wakina job makinj r just rappers sasa inachojifanya unajua hiphop ni nn aisee??
Narudia tena masuala ya kumeza na kujigunza mziki clouds FM na kuja Kupotosha watu humu mkome
Call me mama calm me.Dada whatever u wish but kama hujui hujui tu usilazime
Bila hata aibu eti.John making anafanya hiphop laini sijui hiphop commercial who told u kuna hiphop commercial ?nigga u r too stupid aisee
HIV kwani ni lazima kujifanya unajua
Those hatdcore thing wakina umbwa na spark Dogg(sijui hata kama unamjua) its called harcore,ni gencre tu ya hiphop so acha kupotosha watu na ujinga wako
Donnie bigambo mapoda yamemzingua aisee ila hii ilikua hazina ya hatari sana kuanzia uandishi mpaka flowUmbwaa mzee
Spark dowg
JCB makala
Yuzzo
Donn
Bou nako
Lord eyes
Fid Q
Salu Tee
ni baadhi ya ma broo wanao Fanya hip-hop