Babu talent ni ngoma Kali sana

Babu talent ni ngoma Kali sana

Nyimbo kazi hizi ndo maana wakiandaa matamasha waudhuriaji ni wachache watakuwa kila siku wanalalamika wanabaniwa
Hivi wadada na wamama utawapeleka au wataenda kwenye tamasha lako wakasikileze ngoma kama hizi?
Wacha wakina alikiba, diamond na christian bella waendelee kuwaburuza
KRS one
immortal technique
Tallib kwel
Mbona wanatusua tu
 
KRS one
immortal technique
Tallib kwel
Mbona wanatusua tu
Usifananishe marekani na vitu vya kijinga
Marekani hadi wabibi wanapenda hip hop hasa black american maana wanaamin ndo mziki wao wa ukombozi
Bongo hip hop hii ngumu haina historia ya moja kwa moja na maisha yetu zaidi ya kuucopy kutoka magharibi
 
Dada yangu HipHop ngumu au halisi ni ile ya Arusha by Watengwa guys na ya Fid Q kwa Tanzania hii

HipHop mnayoita HipHop wanadaslam sio Halisi ila ni RnB na taarab yenye background beat ya HipHop.

SAWA?

Ni sawa na kusema Sweet Reggae Music ni Reggae halisi kama ya Culture, Peter Tosh au Bob Marley.

SAWA?

Kubali au kataa...najua utakataa kwakuwa una spirit ya watoto wa Dsm
Hujui lolote just S.T.F.U(shut the f.uck up)
Hujui.hata hiphop ni nn mnakaa kupotosha watu tu
Manadhan kila anayerap ni hiphop hzo hiphop zenu za clouds ziishie clouds huko.huko
By the way kinachokufanya uniite Dada ni.nn?
Au we "shogake" kaoge??
 
Nimekosea bana mama, mi nlijua ni dada, sorry.

Ni hivii...HipHop halisi sio hiyo taarabu yenu au RnB yenye background beat ya HipHop.

Halafu tunaongelea HipHop unaleta habari ya Rap...hujui hata mahadhi yake yana utofauti gani?

Wewe ni msukuma?
 
Dude r u insane?
Hao wote unaosema ni hiphop artist wakina job makinj r just rappers sasa inachojifanya unajua hiphop ni nn aisee??
Narudia tena masuala ya kumeza na kujigunza mziki clouds FM na kuja Kupotosha watu humu mkome
Call me mama calm me.Dada whatever u wish but kama hujui hujui tu usilazime
Bila hata aibu eti.John making anafanya hiphop laini sijui hiphop commercial who told u kuna hiphop commercial ?nigga u r too stupid aisee
HIV kwani ni lazima kujifanya unajua
Those hatdcore thing wakina umbwa na spark Dogg(sijui hata kama unamjua) its called harcore,ni gencre tu ya hiphop so acha kupotosha watu na ujinga wako
 
Hao ni wa Dar na kweli HipHop yao ni halisi, kuanzia mchano hadi beat ila usiniambie hawa wanahiphop wapya wanaimba actual hiphop.

Wanaimba hiphop mauzo tu.
wapo wanaofanya real na wapo fake
 
Nimekosea bana mama, mi nlijua ni dada, sorry.

Ni hivii...HipHop halisi sio hiyo taarabu yenu au RnB yenye background beat ya HipHop.

Halafu tunaongelea HipHop unaleta habari ya Rap...hujui hata mahadhi yake yana utofauti gani?

Wewe ni msukuma?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Hip-hop Na Rap ni tofaut sana
 
Dude r u insane?
Hao wote unaosema ni hiphop artist wakina job makinj r just rappers sasa inachojifanya unajua hiphop ni nn aisee??
Narudia tena masuala ya kumeza na kujigunza mziki clouds FM na kuja Kupotosha watu humu mkome
Call me mama calm me.Dada whatever u wish but kama hujui hujui tu usilazime
Bila hata aibu eti.John making anafanya hiphop laini sijui hiphop commercial who told u kuna hiphop commercial ?nigga u r too stupid aisee
HIV kwani ni lazima kujifanya unajua
Those hatdcore thing wakina umbwa na spark Dogg(sijui hata kama unamjua) its called harcore,ni gencre tu ya hiphop so acha kupotosha watu na ujinga wako
Umbwaa mzee
Spark dowg
JCB makala
Yuzzo
Donn
Bou nako
Lord eyes
Fid Q
Salu Tee
ni baadhi ya ma broo wanao Fanya hip-hop
 
Umbwaa mzee
Spark dowg
JCB makala
Yuzzo
Donn
Bou nako
Lord eyes
Fid Q
Salu Tee
ni baadhi ya ma broo wanao Fanya hip-hop
Donnie bigambo mapoda yamemzingua aisee ila hii ilikua hazina ya hatari sana kuanzia uandishi mpaka flow
Am real not sure kama atarudi
2-umbwa lutuno
This hardcore still rocks aisee
Toka anawachana wakina garner kwenye "full ile laana" kama mnakumbuka mpaka Leo ni yule yule
3-spark dowg-dah aisee noma sana aisee
Sema nae mapoda yamezingua sana ila dah jamaa hatare sana
4-lord eyes-hapana toa Huyu jamaa he is never the harcore we used to knw never the jemedari we used to envy aisee nowadays hana tofauti na Sheka
 
Hakuna anae ijuwa HIP HOP hata mmoja humu kuanzia radio na wasikilizaji afadhali nitupie masikio AMERICA kwa
Jeru the damaja
Boot camp click
Daz Efx
Onxy
Na wengineo kibongo afadhali Ata Stopa the Rhymecca
 
Hamna kitu kibaya kama stress na kukata tamaa, hapo anamuona huyo babu tale ndio adui wa mziki wake, hivi hawamuoni fid Q hana time na maisha ya watu binafsi anafocus kufanya mziki mzuri, sasa sijajua baada ya babu tale anafuatia nani.Sasa yy leo analalamika babu tale anawabania, mi naona nonsense kabisa, huyo babu tale ana uwezo gani wa kuonga zaidi ya radio 120 za tz, upuuzi mtupu, sasa si bora wao wanapata hata kaiar time kadogo vipi upande wa wanamuziki wa bendi waimbeje nao na mashabiki zao wasemeje nao wamlaumu huyo babu tale?. Watu wa hip hop mkae mkijua hip hop ni culture na always culture ni dynamic (ukibisha fungua madaftari yako ya civics ya form 2), sasa nyie hamtaki kubadilika (angalia Joh makini na weusi wanavyobadika ktk kila beat, wanavyoswitch flow wavyopata air time na show za kutosha, mwangalie moe tech ktk pesa madafu, prof jay kazi kazi, kila kizazi kina ladha zake) na siku hizi radio zote zinagombea wasikilizaji, sidhani kama wata kuwa na time na kupiga huo mziki wenu kwani wao ni wafanyabiashara, radio ikiwap na wasikilizaji wengi matangazo nayo yanakuwa mengi. Alafu msilaumu babutale yy kasha sema, yy anawasimamia waimbaji tu kwani ndio biashara inayomlipa, msimlazimishe afanye nn na ela zake, kwani kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom