Babu talent ni ngoma Kali sana

Donnie alipelekwa sobar Ila jamaa ni moja ya vichwaa sana kwenye gemu ya Hip-hop

Chindo man
Spark dawg nimemuona nae drugs znamchanganya
 
kuna madogo wanakuja freshi
Raff MC
 
hip-hop n mziki wa ukombozi
 
Usifananishe marekani na vitu vya kijinga
Marekani hadi wabibi wanapenda hip hop hasa black american maana wanaamin ndo mziki wao wa ukombozi
Bongo hip hop hii ngumu haina historia ya moja kwa moja na maisha yetu zaidi ya kuucopy kutoka magharibi
kwa hiyo unatakaje
 
Kwani lengo kuu la Utamaduni wa Hip-hop ni kupigwa Redioni
 
Mkushi wa kusi sasa, umesema lengo la hip hop si kupigwa radioni, sasa huyo niki mbishi analalamikia nini ktk hiyo nyimbo au anajifurahisha. Mwana hip hop anakuwa na wivu kama mtoto wa kike, si bora nae abane pua, harmonize kumiliki gari yy kinamuuma nn
 

Hebu refer kwa ngoma ya Babu Talent then niambie unamaanisha nini kwa maneno yako hayo?
 
Mnajifanya wagumu halafu mnalilia kuwa managed na Babu Tale, kwa nyimbo hizi za kuimba watu utaendelea kusubiri sana bench
 
Kuna sehem amelalamika?au unakurupuka tu
 
Ts clearly u r not in the game wala hujui how game goes sa sijui unapata WAP guts za kuna kupost Huu utumbo hapa
Eti stress dah watu wengine bana kujifunza sio ujinga ndugu zangu kama hujui kitu uliza
 
Hakuna anae ijuwa HIP HOP hata mmoja humu kuanzia radio na wasikilizaji afadhali nitupie masikio AMERICA kwa
Jeru the damaja
Boot camp click
Daz Efx
Onxy
Na wengineo kibongo afadhali Ata Stopa the Rhymecca

huyo Jeru the damaja albamu yake ya The sun rises in the east ni noma
 

Dawg looks like u don' kno a shit bout Hip Hop ila umekariri tu vitu vidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…