Babu talent ni ngoma Kali sana

Babu talent ni ngoma Kali sana

Donnie bigambo mapoda yamemzingua aisee ila hii ilikua hazina ya hatari sana kuanzia uandishi mpaka flow
Am real not sure kama atarudi
2-umbwa lutuno
This hardcore still rocks aisee
Toka anawachana wakina garner kwenye "full ile laana" kama mnakumbuka mpaka Leo ni yule yule
3-spark dowg-dah aisee noma sana aisee
Sema nae mapoda yamezingua sana ila dah jamaa hatare sana
4-lord eyes-hapana toa Huyu jamaa he is never the harcore we used to knw never the jemedari we used to envy aisee nowadays hana tofauti na Sheka
Donnie alipelekwa sobar Ila jamaa ni moja ya vichwaa sana kwenye gemu ya Hip-hop

Chindo man
Spark dawg nimemuona nae drugs znamchanganya
 
Donnie bigambo mapoda yamemzingua aisee ila hii ilikua hazina ya hatari sana kuanzia uandishi mpaka flow
Am real not sure kama atarudi
2-umbwa lutuno
This hardcore still rocks aisee
Toka anawachana wakina garner kwenye "full ile laana" kama mnakumbuka mpaka Leo ni yule yule
3-spark dowg-dah aisee noma sana aisee
Sema nae mapoda yamezingua sana ila dah jamaa hatare sana
4-lord eyes-hapana toa Huyu jamaa he is never the harcore we used to knw never the jemedari we used to envy aisee nowadays hana tofauti na Sheka
kuna madogo wanakuja freshi
Raff MC
 
Hamna kitu kibaya kama stress na kukata tamaa, hapo anamuona huyo babu tale ndio adui wa mziki wake, hivi hawamuoni fid Q hana time na maisha ya watu binafsi anafocus kufanya mziki mzuri, sasa sijajua baada ya babu tale anafuatia nani.Sasa yy leo analalamika babu tale anawabania, mi naona nonsense kabisa, huyo babu tale ana uwezo gani wa kuonga zaidi ya radio 120, upuuzi mtupu, sasa si bora wao wanapata hata kaiar time kadogo vipi upande wa wanamuziki wa bendi waimbeje nao na mashabiki zao wasemeje nao wamlaumu huyo babu tale?. Watu wa hip hop mkae mkijua hip hop ni culture na always culture ni dynamic (ukibisha fungua madaftari yako ya civics ya form 2), sasa nyie hamtaki kubadilika na siku hizi radio zote zinagombea wasikilizaji, sidhani kama wata kuwa na time na kupiga huo mziki wenu kwani wao ni wafanyabiashara, radio ikiwa na wasikilizaji wengi matangazo nayo yanakuwa mengi. Alafu msilaumu babutale yy kasha sema yy anawasimamia waimbaji tu kwani ndio biashara inayomlipa, msimlazimishe afanye nn na ela zake, kwani kupanga ni kuchagua.
hip-hop n mziki wa ukombozi
 
Usifananishe marekani na vitu vya kijinga
Marekani hadi wabibi wanapenda hip hop hasa black american maana wanaamin ndo mziki wao wa ukombozi
Bongo hip hop hii ngumu haina historia ya moja kwa moja na maisha yetu zaidi ya kuucopy kutoka magharibi
kwa hiyo unatakaje
 
Hamna kitu kibaya kama stress na kukata tamaa, hapo anamuona huyo babu tale ndio adui wa mziki wake, hivi hawamuoni fid Q hana time na maisha ya watu binafsi anafocus kufanya mziki mzuri, sasa sijajua baada ya babu tale anafuatia nani.Sasa yy leo analalamika babu tale anawabania, mi naona nonsense kabisa, huyo babu tale ana uwezo gani wa kuonga zaidi ya radio 120, upuuzi mtupu, sasa si bora wao wanapata hata kaiar time kadogo vipi upande wa wanamuziki wa bendi waimbeje nao na mashabiki zao wasemeje nao wamlaumu huyo babu tale?. Watu wa hip hop mkae mkijua hip hop ni culture na always culture ni dynamic (ukibisha fungua madaftari yako ya civics ya form 2), sasa nyie hamtaki kubadilika na siku hizi radio zote zinagombea wasikilizaji, sidhani kama wata kuwa na time na kupiga huo mziki wenu kwani wao ni wafanyabiashara, radio ikiwa na wasikilizaji wengi matangazo nayo yanakuwa mengi. Alafu msilaumu babutale yy kasha sema yy anawasimamia waimbaji tu kwani ndio biashara inayomlipa, msimlazimishe afanye nn na ela zake, kwani kupanga ni kuchagua.
Kwani lengo kuu la Utamaduni wa Hip-hop ni kupigwa Redioni
 
Mkushi wa kusi sasa, umesema lengo la hip hop si kupigwa radioni, sasa huyo niki mbishi analalamikia nini ktk hiyo nyimbo au anajifurahisha. Mwana hip hop anakuwa na wivu kama mtoto wa kike, si bora nae abane pua, harmonize kumiliki gari yy kinamuuma nn
 
Hahaha...Unajipigia promo au[emoji12] (joke)

Btw, kwa tunaojua hiphop hiyo instrumental na beat ni ya HipHop ngumu....refer kwny ngoma za Lost Boys na Death row za zamani.

Hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kupenda ngoma za Watengwa wa Arusha ama za JCB Makala au chindo man walizosimama wenyewe, na hata ya Fid Q zile zote za kwanza.

Kinachofanya hapo uiite hiphop commercial au soft hiphop ni matamshi tu wa maneno na maneno yenyewe.

Hapo ukiweka beats kama za joh Makini basi ndio itaitwa pure Commercial Hiphop.

Umenisoma?

Hebu refer kwa ngoma ya Babu Talent then niambie unamaanisha nini kwa maneno yako hayo?
 
Mnajifanya wagumu halafu mnalilia kuwa managed na Babu Tale, kwa nyimbo hizi za kuimba watu utaendelea kusubiri sana bench
 
Hamna kitu kibaya kama stress na kukata tamaa, hapo anamuona huyo babu tale ndio adui wa mziki wake, hivi hawamuoni fid Q hana time na maisha ya watu binafsi anafocus kufanya mziki mzuri, sasa sijajua baada ya babu tale anafuatia nani.Sasa yy leo analalamika babu tale anawabania, mi naona nonsense kabisa, huyo babu tale ana uwezo gani wa kuonga zaidi ya radio 120 za tz, upuuzi mtupu, sasa si bora wao wanapata hata kaiar time kadogo vipi upande wa wanamuziki wa bendi waimbeje nao na mashabiki zao wasemeje nao wamlaumu huyo babu tale?. Watu wa hip hop mkae mkijua hip hop ni culture na always culture ni dynamic (ukibisha fungua madaftari yako ya civics ya form 2), sasa nyie hamtaki kubadilika (angalia Joh makini na weusi wanavyobadika ktk kila beat, wanavyoswitch flow wavyopata air time na show za kutosha, mwangalie moe tech ktk pesa madafu, prof jay kazi kazi, kila kizazi kina ladha zake) na siku hizi radio zote zinagombea wasikilizaji, sidhani kama wata kuwa na time na kupiga huo mziki wenu kwani wao ni wafanyabiashara, radio ikiwap na wasikilizaji wengi matangazo nayo yanakuwa mengi. Alafu msilaumu babutale yy kasha sema, yy anawasimamia waimbaji tu kwani ndio biashara inayomlipa, msimlazimishe afanye nn na ela zake, kwani kupanga ni kuchagua.
Ts clearly u r not in the game wala hujui how game goes sa sijui unapata WAP guts za kuna kupost Huu utumbo hapa
Eti stress dah watu wengine bana kujifunza sio ujinga ndugu zangu kama hujui kitu uliza
 
Hakuna anae ijuwa HIP HOP hata mmoja humu kuanzia radio na wasikilizaji afadhali nitupie masikio AMERICA kwa
Jeru the damaja
Boot camp click
Daz Efx
Onxy
Na wengineo kibongo afadhali Ata Stopa the Rhymecca

huyo Jeru the damaja albamu yake ya The sun rises in the east ni noma
 
Hahaha...Unajipigia promo au[emoji12] (joke)

Btw, kwa tunaojua hiphop hiyo instrumental na beat ni ya HipHop ngumu....refer kwny ngoma za Lost Boys na Death row za zamani.

Hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kupenda ngoma za Watengwa wa Arusha ama za JCB Makala au chindo man walizosimama wenyewe, na hata ya Fid Q zile zote za kwanza.

Kinachofanya hapo uiite hiphop commercial au soft hiphop ni matamshi tu wa maneno na maneno yenyewe.

Hapo ukiweka beats kama za joh Makini basi ndio itaitwa pure Commercial Hiphop.

Umenisoma?

Dawg looks like u don' kno a shit bout Hip Hop ila umekariri tu vitu vidogo.
 
Back
Top Bottom