Babu wa Loliondo Ambilikile Mwaisapile Taifa lote linakusikiliza , Toa neno mzee wetu

Babu wa Loliondo Ambilikile Mwaisapile Taifa lote linakusikiliza , Toa neno mzee wetu

View attachment 1420356

Wewe Mzee ni miongoni mwa Tunu ya Taifa , una maono makali sana , sisi wajukuu zako tunakutegemea utoe mwongozo wa Sintofahamu iliyopo .

Tunatanguliza Shukrani
Labda akutolee wewe maoni we ndo waweza liamini Hilo tapeli lililoandaliwa kudiverg ishu ya Richmond ili watu wasahau kuhusu Richmond.Huyo ni tapeli sawa na wale wa mafuta ya upako.Amesababisha wengi wamezikwa maporini wakifata kutapeliwa nae
 
Back
Top Bottom