Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
Sijui kama atakufaa maana babu anatumia Airtel....sasa wewe na mtandao wako wa tiGo hebu tuwasiliane...
sipati picha Ambolikile akiwa anamgeuza Nazjaz mithili ya samakiUmeona ehh huyu binti ni mwisho wa matatizo, naogopa asije akamfundisha Babu yale mambo ya Tanga ya kumgeuza samaki.
Muna wajukuu wangapi sasa?Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.