Babu wa Loliondo anaswa Benki....

mh! na huyo ni mhudumu wa bank au chef?? au sijaelewa........ au ni picha toka maktaba??
 
Babu anaendelea kutesa kwa mafao ambayo wagonjwa wengi walikufa.
 
Boflo mambo vipi?
yaani hiyo avatar yako imenichekesha sana! huyo ndo bi harusi au matron?hahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!! unatisha sana Boflo!
 
Boflo mambo vipi? yaani hiyo avatar yako imenichekesha sana! huyo ndo bi harusi au matron?hahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!! unatisha sana Boflo!

Mkuu hata hii yako inachekesha pia.........sijui hizo rangi ni SIMBA vs YANGA
 
Boflooooooooooooooooooo wewe kibiko!nacheka sina mbavu!eti tunamlipa mafao ya uzeeni duu
 
...anafaidi mafao, wajinga ndio waliwao...
 
Kulitokea vikombe vingi, mbona umetuletea babu peke yake? Yule dada, na yule kaka waliokuwa wanatoa vikombe wako wapi mbona umewasahau?
 
hahahahah, kweli kanenepa, pesa si mchezo bana,,. lakini mtu akiwa maarufu kazi kwelikweli,. lakini sijaona ajabu babu kwenda bank,...
 
tatizo Tz maisha magumu akaamua kutoka kivyake kw śtail ya kikombe mnamkamata saiz mziki ushaisha,
 
Huyu babu bado kujiunga jf tu
halafu utashangaa watakaom pm lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…