jerry monny
Member
- Dec 6, 2010
- 94
- 0
inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza ndipo wafuatie wapiga kura.na habari nyingine wanasema kua usafiri wote wakwenda kule ungesimamiwa na mtoto wa mkulima kwani nasikia anamabasi yake yanaitwa sumni,hatakama ungekua unalako haungeruhusiwa kuingia nalo kwenye eneo la hifadhi.duh ! kweli chadema ndio mkombozi wa hili taifa kwenye kila jambo.
Don't panic,relax,this is just a cup of coffee!!Tutafika kweli kwa mawazo mgando kama hayo?
chadema na tiba wapi na wapi
bongo siasa imeadhiri kila kona, chunguza utaona..
HUU SASA NI UCHOCHEZIinasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza ndipo wafuatie wapiga kura.na habari nyingine wanasema kua usafiri wote wakwenda kule ungesimamiwa na mtoto wa mkulima kwani nasikia anamabasi yake yanaitwa sumni,hatakama ungekua unalako haungeruhusiwa kuingia nalo kwenye eneo la hifadhi.duh ! kweli chadema ndio mkombozi wa hili taifa kwenye kila jambo.