Babu wa loliondo ni chadema

Babu wa loliondo ni chadema

jerry monny

Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
94
Reaction score
0
inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza ndipo wafuatie wapiga kura.na habari nyingine wanasema kua usafiri wote wakwenda kule ungesimamiwa na mtoto wa mkulima kwani nasikia anamabasi yake yanaitwa sumni,hatakama ungekua unalako haungeruhusiwa kuingia nalo kwenye eneo la hifadhi.duh ! kweli chadema ndio mkombozi wa hili taifa kwenye kila jambo.
 
hI NAYO KALI ! Go Chadema !!!!
 
Tutafika kweli kwa mawazo mgando kama hayo?
 
Serikali inajaribu kuangalia namna gani nao wapige mahela kwa kupitia yule Babu wa Loliondo. Lakini naona inakuwa ngumu, babu anakataa. Wakiona hawapati mgao wowote kwny ile ada ya dawa, watajenga hata vyoo vya kulipia au wataweka geti magari yaingie kwa kulipia.
 
AKI-PROVE KUWA NI CCM TENA CCM DAMU HII POST YAKO YA "kusadikika" utaificha wapi?
 
akili ni manywelel ya chini kila mtu ana zake:rain:
 
kuipenda sisiemu nikupenda rushwa,yamekukuta na bado utangangania sisiemu,alakini nashukuru ile leya ya wapumbavu inapungua,wa vyuo wametuelewa na wasekondari ndio hao on the way to join,dem all sisiemu supoters.
 
Mpaka iweje ndipo mtaamini?tumetibu ufisadi,ujinga,haki za msingi za mtanzania na tupo kwenye tiba ya rushwa na asilimia kubwa tumefanikiwa,bado tu hujaona?au na wewe ni kati ya walionufaika na dhulma ya sisiemu?au ndio kwanza bila makamba huendi haja?pole ndugu alakini ukombozi unakuja rasmi ,ukombozi wa tanganyika na ukombozi wa wenye akili mgando waliobaki kushabikia watoto wamafisadi wakifaidi hela za walalahoi.hii dhambi itajawatafuna sikumoja,hata mkifa itawatafuna tu.
 
of course babu ni Chadema na hilo halina ubishi . Mkitaka muulizeni . Arusha na Manyara si ngome ya cdm? Cha msingi dawa haina uhusiano na cdm ila ukweli itikadi yake ni cdm .
 
inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza ndipo wafuatie wapiga kura.na habari nyingine wanasema kua usafiri wote wakwenda kule ungesimamiwa na mtoto wa mkulima kwani nasikia anamabasi yake yanaitwa sumni,hatakama ungekua unalako haungeruhusiwa kuingia nalo kwenye eneo la hifadhi.duh ! kweli chadema ndio mkombozi wa hili taifa kwenye kila jambo.
HUU SASA NI UCHOCHEZI
 
Back
Top Bottom