BABU WA LOLIONDO: nimeoteshwa, muujiza mpya unakuja kaeni mkao wa kula.

mhhhhhhh huyo ndio babu bwana....town kitamboooooooo
 
serikali ya viziwi (ccm ) kwa mipango bwana wamekuja tena na Babu,haya ngoja na tusubiri
 
ivi wale walioenda kwa babu mbina hawajitokezi wakasema kuwa wamepona?
cha kusikitisha zaidi ni kuwa huyu mtu alikuwa endorsed na kanisa.
 
babu kaibuka tena, tunasubiri muujiza...
 
Ngoja nijiandae nikaweke makazi ya muda huko Samunge maana itakua ni shughuli pevu siku huo muujiza utakapowadia kwakua najua hiyo foleni sio mchezo!
 
Utapeli wa kikombe ume-expire sasa unaandaliwa utapeli mwingine mpya. HATUDANGANYIKI!
 

mkuu nimefurahia comment yako so is to say

ushirikina+usanii=...............................................
 
Babu usiwe na shaka utawapata wateja wengi tu.
Watu wamelogwa nchi hii
OTIS
 
kwa kosa lipi_au kwa sababu ya ubabu/ukongwe wake?...nyie ndio mnaoua vikongwe bila sababu.

ata mimi huyo jamaa simuelewi..eti atiwe ndani wakati anatibu babu wawatu.
 
Amelenga kweli na huu mgomo wa madactari wengi tutakimbilia huko
 
alipoulizwa kuhusu utitili wa vikombe vilivyoibuka sehemu nyingine baada ya yeye kutoa chake,kasema wengine waongo ila wengine hajuwi.
 
 
lakini kapeleka maendelo kwao gari mbili loliondo si mchezo,pia mtandao wa airtell hupo wa kutosha..
Awamu hii itapelekwa hata tigo na zantel na viongozi waliomisi watapata.
 
 
Hatuna cha kufanya zaidi ya kuusubiri huo muujiza!..we therefore cross our fingers!

Uncle PJ ninakukubali sana maana wewe uko straight kuliko watu wengine humu wanajifanya wanamponda babu lakini Loliondo kwenye foleni kama kawa...
 
ivi wale walioenda kwa babu mbina hawajitokezi wakasema kuwa wamepona?
cha kusikitisha zaidi ni kuwa huyu mtu alikuwa endorsed na kanisa.

wapo wengi sana walitoa ushuuda,kwa mfano mzee mlema alisema amepata nafuu ya kisukari baada ya kupata tiba kwa babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…