BABU WA LOLIONDO: nimeoteshwa, muujiza mpya unakuja kaeni mkao wa kula.

BABU WA LOLIONDO: nimeoteshwa, muujiza mpya unakuja kaeni mkao wa kula.

Sasa jamani, Babu..????.. Watufanya watoto sasa..!!!!
..Ukiona mwenzio amenyolewa, weka maji na weye..!!!!

......Hunipati ng'o..!!!!!
 
Yani ni kama msanii qwa bongo flava anayejinadi kwamba "kaeni mkao wa kula, singo yangu mpya ipo njiani"
 
Kwa hiyo babu naomba utupe na bei ya huo muujiza mpya ili tuanze kuzichangachanga duh yaani sasa hivi natafuta kiwanja huko. Nahamia loliondo jamanii. Huko ni full ma miujiza


Aahhahhahahhahha weweeee...
 
Haya wee wale wenye imani kaeni mkaooo wa kupokea muujiza mpya kutoka kwa babuuuuuu...
 
Hamna ki2 hapo., labda aje na kikombe cha kuongeza makalio, kikombe cha kuongeza hips ama sehemu nyeti.. Hapo wateja atawadaka.. Hivihivi mmmmh sidhani..!
 
ile ni sayansi tuu mwenzetu sasa hv ana landcruizer safi mkonge shaur yao wale waliokodi mabas kwenda loliondo hakuna cha dawa wala nini ni uzush mtupu
 
Kikombe Revised Version two.....tuwe wavumilivu. babu anajiamini sana atakuwa hatanii.
 
Ni mjasiriamali mwenye hekima, anayejua kusoma alama za nyakati na trend ya soko.....hivi mapato yake yaliyomwezehs akununua gari na kujenga nyumba alilipa kodi ya mapato?

Mshahara wa ****** mbona hauhoji kwa nini haukatwi kodi? Babu namuamini, ni kichwa cha biashara, wacha niandae Noah zangu kadhaa na tents, oportunities za namna hii haziji mara nyingi sana! .........Go babu go, kichwa uumie wewe halafu wengine wahoji matumizi ya jasho lako, pamaf!
 
Back
Top Bottom