Babu wa miaka 70 afumwa akilawiti mtoto wa miaka 14

Manina dah
 
Waliomkamata wamekosea, walitakiwa wapige simu polisi wafate mzoga
 
Babu wa hovyo ,miaka 70 bado unafanya ufirauni? Kwanini asitafute Bibi wa 60 awe anapata utelezi?
 
Hilo jina la mtuhumiwa limesababisha hii thread ikose wachangiaji. Laiti kama mlawiti angeitwa Hassani, Hamisi, Abdallah au Saidi basi mpaka sasa uzi huu ungekuwa umeshajaa comments dhihaka.
Ingekuwa ni majina hayo isingekuwa ni habari
 
Nae anaenda kuliwa kwa berenge la maharage mchicha jela
 
Hilo jina la mtuhumiwa limesababisha hii thread ikose wachangiaji. Laiti kama mlawiti angeitwa Hassani, Hamisi, Abdallah au Saidi basi mpaka sasa uzi huu ungekuwa umeshajaa comments dhihaka.
hahaha
 
sijui kama jamii tufanyeje hili suala liishe!maana kila siku ni vioja vipyaa!pamoja na sheria kali ya kifungo cha maisha bado hali ni mbaya!kila siku kuna tukio!ingekua amri yangu au ningekua Rais ningetangaza kuua waganga wote wa kienyeji maana ndo wanaopelekea huu ufirauni kwa watoto wetu kufanyiwa mambo ya ajabu!
 
Sasa mbona mnamwangalia?
Mlitakiwa hapohapo "mngemsindikiza" kwa mawe ya kichwa!
 
Kijana wa miaka 14 anamchapa mikono huyo mzee mpaka anapiga mwano,
 
Mkoa gani?
Wilaya gani?
Kata gani?
Kijiji gani?
 
Miaka 14?? Si ni kijana wa 4m 2?? Huu sio ulawiti Bali ni makubaliano yao, na inaonekana walikua na mahusiano mda mrefu. Lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…