Babu wa Samunge - ambao hawajapona warudie dawa


Na waliotangulia mbele za haki je?
 
Huyu baba si alisema dozi yake ni mara moja tu huruhusiwi kunywa tena?
 
Watu wengine waliokunywa kikombe chake walishakufa. Sasa anataka wafu wamfate akawatoe upepo tena? Au ile nyumba yake haijaisha, sasa anatafuta pesa za kumalizia milango na madirisha?
 
Ila kuna baadhi walipona.... jaman!! Na wengine tuko nao na wana afya bomba! Kwan wanaotibiwa hospit. Wanapona wote!!!??!?
 
kweli wengine walipona ila si alisema ukirudia kikombe unakufa?
 
Si alishasema kikombe chake unatakiwa kunywa mara moja tu? Huyu babu vipi? Mbona kigeu geu sana?

Jamani hata mimi nakumbuka hili, tena alisisitiza NI MWIKO KURUDIA KIKOMBE! sasa imekuwaje tena? au anataka sasa kujenga hekalu badala ya kujenga nyumba, anunue na ndege ! Mola atunusuru na imani potofu kama hii Amin
 
Jamani jaribuni kuwa na busara ya upembuzi. Babu aliposema watu wasirudie alikuwa na maana kuwa mtu ukinywa uondoke eneo lile, uendelee na dawa zako ukiwa na imani kuwa itakusaidia kupona.

Angeruhusu kurudia na jinsi binadamu anavyopenda kupona haraka, watu wasingebanduka kule mpaka wahakikishe wamepona ndo warudi makwao.

Lakini basi kwa kuwa kuna waliopona kwa kufuata utaratibu, na waliokufa kwa kutokufuata taratibu; wanaotaka kupona kwa sasa ni ruksa kwenda tena lakini kwa utaratibu ule ule kwamba kikombe kimoja halafu unachapa yebo.

Mnaombeza babu kuwa dawa yake ni hatari, ulizieni taarifa ya utafiti ya NIMRI juu ya dawa hiyo. Mbona mpaka leo hawajathibitisha wala kuipinga. Kwa utaratibu mtu ukikaa kimya inamaana umekubali.

Nawasilisha.
 
Hawajapona na wameshafariki sasa hao wa kurudia ni walio nusurika kufa? .
 
hahahahahaha babu kushney...mwambieni wajinga ndo waliwao haendi m2 hapa
 
Hv wale wengine nao walioibuka kuwa na vikombe waliishia wapi wamezimika ziii!!!
 
KKKT- Kunywa Kikombe Kimoja Tu,leo imekuaje amebadilisha msimamo wake? Tapeli wa kimataifa.
 
Tafadhali jifunze kiswahili vizuri - Samunge - Kienyeji - Hawakupona. hii ndio tafsiri sahihi.

Ndallo aisee umenichekesha saana umegunduaje.Nimecheka hadi nimekula kofi la kisogo kutoka kwa dia wng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…