Babu yake Wastara aeleza kilichosababisha ndoa ya Wastara na Mbunge Sadifa kuvunjika

Babu yake Wastara aeleza kilichosababisha ndoa ya Wastara na Mbunge Sadifa kuvunjika

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Babu yake Wastara amefunguka na kueleza kilichosababisha kuvunjia kwa ndoa ya Wastara na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma.

Wastara-Juma.jpg

Akizungumza na Times Fm, Babu huyo aliweka bayana kuwa Mbunge huyo mwenye cheo ndani ya umoja wa vijana CCM, alifikia hatua ya kuwatongoza wafanyakazi wa ndani ili awe nao kimapenzi.

“Wastara hataki kurudiana na Sadifa, kutokana na vitendo alivyokuwa akivifanya, imefikia wakati mpaka wale wafanyakazi wa ndani wananambia babu, babu, baba huku anatutongoza njoo uone na meseji tunazo kwenye simu,” alisema Babu.

Aliongeza, “Alafu hana adabu anafikia hatua ya kuniambia mimi nalala na mtoto wangu Wastara, aisee sijui atakuja kunieleza vipi kwa hilo”

Aidha ameweka bayana kuwa, kwa sheria za Dini ya Kiislamu ndoa hiyo siyo halali mara baada ya Mbunge huyo kutamka hadharani kwamba amemuacha Wastara.

Chanzo: TimesFM
 
Hii nayo ishakuwa isidingo yani haiishi tu
 
Hii dnoa mbona yote ya WASANII tu hakuna hata mmoja ambe anauwezo wa kunyamaza, hata babu nae radioni?! Sadifa na Wastara wanajua ukweli wa ndoa yao wataamua wenyewe hatma yao sio babu
 
wekeni picha ya uyo babu tumuone....babu gani atoke morogoro mpaka times kuongea na radio...nna mashaka babu anapiga pumb.u pale.
 
Huyo babu mbona ana uchungu sana na wastara..atakuwa mchepuko wake tu
 
Huyu bi dada akae atulie ,aendelee kuigiza basi maana ndoa imekuwa ndoa ndoano
 
Mwanamke tegemeezii afu unafurukuta weee,shaurilooo
 
Huyu Sadifa Ovyo kabisa,ivi inakuwaje Wastara unaolewa na mtu wa aina hii? yani mwanamme sie kabisaaa
amekaa kimbatata za urojo na chips za mihogo tuu hafai hata bure.........mmmm kama sina mume na kabaki huyu
nasema naiwe basi............
 
kumbe ni

kumbe nishaelewa
 
huyo babu anajulikana sana moro.siyo mzee ila babu ni jina lake babu aziz
 
Hii dnoa mbona yote ya WASANII tu hakuna hata mmoja ambe anauwezo wa kunyamaza, hata babu nae radioni?! Sadifa na Wastara wanajua ukweli wa ndoa yao wataamua wenyewe hatma yao sio babu
Babu yy ndo kamalizaaa....wenzie wanachezea Ig yy kaenda redion kabsaa....
 
Huyu Sadifa Ovyo kabisa,ivi inakuwaje Wastara unaolewa na mtu wa aina hii? yani mwanamme sie kabisaaa
amekaa kimbatata za urojo na chips za mihogo tuu hafai hata bure.........mmmm kama sina mume na kabaki huyu
nasema naiwe basi............
DUH!! MUMEO ANAKAZI KUBWA KWELI......
MUMEO alikunasaje ukanasika...
we ni mwanamke tu hii pia inaweza kukupata hata wewe.. si tunajua udhaifu wenu ulipo ndo mana mwenzio alinasa bila kujitambua kwa SADIFA. So usimshangae WASTARA kwa yaliyomkuta ndo ameshapata somo hapo. bado wewe yakukute ndo utahadithia hapa. lkn pia inateMEGEA kama unafanana vipi au umeweza kufikia viwango vya WASTARA yani tuchukulie uzuri wake haiba zake na mapenzi yake.
Tulia ulipo subiri movie iendelee....
 
mmmmmmm,ivo eeh ,kwahiyo viwango ndio vimemfanya yamkute yalio mkuta eeh? nasukuru kwakunifanyia siku yangu ya leo iwe yenye Tabasam.. mwenyezi mungu akulinde...
 
mmmmmmm,ivo eeh ,kwahiyo viwango ndio vimemfanya yamkute yalio mkuta eeh? nasukuru kwakunifanyia siku yangu ya leo iwe yenye Tabasam.. mwenyezi mungu akulinde...
na hii ni kama UMEOLEWA. huenda bado UPOUPO TU.
 
Back
Top Bottom