Babu zake na mwanamuziki Prince Dully sykes

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Picha hapo chini:

kutoka kulia ni abdhullwahid Sykes na mdogo wake ally Kleist Sykes,

wamevaa gwanda za kijeshi za king's African rifles, waliposhiki vita vya pili vya Dunia.

Na hawa ndio waanzilishi wa TANU

FB_IMG_1645343943871.jpg
 
Sio tu walikua wanajeshi lakini pia walikua ni matajiri na Familia kubwa katika Jiji la mzizima.Mmojawapo kati yao ndiye alikua meneja wa soko la kariakoo hicho ni kipindi ukoloni wa Waingereza.

Kumbukeni pia kwa miaka hiyo hao jamaa walikua wanamiliki magari aina ya Benzi,Wana mchango mkubwa Sana kwenye harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika ,Waendelee kupumuzika kwa Amani.
 
Wakazaa mtoto muanzilinzi wa bongo fleva
 
Sio tu walikua wanajeshi lakini pia walikua ni matajiri na Familia kubwa katika Jiji la mzizima.Mmojawapo kati yao ndiye alikua meneja wa soko la kariakoo hicho ni kipindi ukoloni wa Waingereza,Kumbukeni pia kwa miaka hiyo hao jamaa walikua wanamiliki magari aina ya Benzi,Wana mchango mkubwa Sana kwenye harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika ,Waendelee kupumuzika kwa Amani.
Kama walikuwa wanajeshi kwanini wapumzike kwa amani...waendelee kupambana kwa nguvu zote huko..maana mr shetani anatuzingua sana yani
 
Sio tu walikua wanajeshi lakini pia walikua ni matajiri na Familia kubwa katika Jiji la mzizima.Mmojawapo kati yao ndiye alikua meneja wa soko la kariakoo hicho ni kipindi ukoloni wa Waingereza,Kumbukeni pia kwa miaka hiyo hao jamaa walikua wanamiliki magari aina ya Benzi,Wana mchango mkubwa Sana kwenye harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika ,Waendelee kupumuzika kwa Amani.
History mbona imewapotezea inamzungumzia Nyerere peke yake?
 
Back
Top Bottom